MAGANYA, RC MTAKA WAHUDHURIA MAZISHI YA HERMAN KIRIGINI
Na Shomari Binda-Butiama
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Fadhili Maganya na mkuu wa mkoa wa Njombe,Antony Mtaka, wameongoza waombolezaji kwenye mazishi ya Herman Kirigini.
Marehemu...
MKUU WA WILAYA YA KOROGWE JOKATE APOKEA VIFAA VYA MSAADA VYA HOSPITALI KUTOKA CLUB...
Na Magrethy Katengu
Wadau, Kampuni, Taasisi za serikali na zisizo za kiserikali, Mashirika na Mtu binafsi wameshauriwa kuwa na moyo wa kutoa sehemu ya hali...
RC MPYA MANYARA, AITEMBELEA WILAYA YA MBULU
Ikiwa ni siku moja tu baada ya kuwasili mkoani Manyara kuyaanza majukumu yake. Mkuu mpya wa mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amefanya ziara...
NCHI 5 ZAONGEZEKA KUJISAJILI KUSHIRIKI MAONYESHO YA 47 KIMATAIFA TAN TRADE
Na Magrethy Katengu
Idara ya Ukuzaji biashara TanTRADE imesema mpaka sasa katika Maonesho ya biashara ya kimataifa ya 47 nchi 5 zimeongezeka kujisajili katika maonyesho...
WAGANGA WA KIENYEJI 33 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MWANZA
Neema Kandoro Mwanza
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limewakamata waganga wa kienyeji 33 wanaojihusisha na ramli chonganishi na kufanya shughuli za uganga wa kienyeji bila...
MUHONGO AELEZEA ALIVYOMFAHAMU MAREHEMU HERMAN KIRIGINI
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini,Prof.Sospeter Muhongo, amemuelezea namna alivyomfahamu aliyekuwa mbunge wa zamani wa jimbo hilo, Herman Kirigini.
Akitoa salama za rambirambi...
WAZAZI WATAKIWA KUFATILIA MIENENDO YA WANAFUNZI WAKATI WA LIKIZO
Na Shomari Binda-Musoma
WAZAZI na walezi wametakiwa kufatilia mienendo ya wanafunzi wakiwa nyumbani wakati wa kipindi cha likizo.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa shule ya...
KONGAMANO MAALUM LA WAPIGA PICHA ZA MNATO LALENGA KUJADILI MATUMIZI YA TEKNOLOJIA MPYA
KAMPUNI ya Big Solution watarajia kufanya kongamano maalum la kuwaunganisha pamoja wanaohusika na fani ya kupiga picha mnato na video mapema Juni 6, 2023...
POLISI TANGA WAONYA BODABODA KUJIHUSISHA NA UHALIFU, UVUNJIFU WA SHERIA BARABARANI
Na Boniface Gideon, TANGA
KAMANDA wa jeshi la Polisi mkoa wa Tanga Henry Mwaibambe amewaonya madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda kutokujihusisha na vitendo vya...
Serikali kuzingatia mafungu maalum ya fedha kwa waviu katika utekelezaji wa bajeti ya mwaka...
NA; MWANDISHI WETU - DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amesema utekelezaji wa...













