NBC BENKI YAJA NA KAMPENI KABAMBE KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI ZA KIFEDHA
Na Magrethy Katengu
Benki ya bishara ya NBC imekuja na fursa ya kuhakikisha wananchi wananufaika kwa kutumia huduma mbalimbali ikiwemo wafanyabishara, wakulima, wafanyakazi serikali binafsi...
WAZIRI JAFO AZINDUA MIRADI MVOMERO, AWATAKA WANANCHI KUITUNZA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewataka wananchi kulinda miradi ya maendeleo, hifadhi ya mazingira...
WATEJA WAILIYOKUWA BENKI YA FBME WALIPWA BILIONI 2.4
Na. Farida Ramadhani, WFM, Dodoma
Serikali imewalipa wateja wa iliyokuwa Benki ya FBME jumla ya shilingi bilioni 2.43 ikiwa ni malipo ya awali ya fidia ya bima ya amana kwa wateja 3,446, hadi...
BENKI YA CRDB YAPATA LESENI KUFANYA BIASHARA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO (DRC)
Kinshasa DRC 2 Mei 2023 – Benki Kuu ya Congo (BCC) imeipatia leseni ya kufungua kampuni tanzu nchini humo Benki ya CRDB. Leseni hiyo...
ZAIDI YA WABUNIFU 700 WAOMBA MTAJI BENKI YA CRDB KUPITIA IMBEJU
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Emmanuel Kiondo akizungumzaa na waandishi wa habari wakati akitangaza matokeo ya program ya Imbeju inayolenga...
MAANDALIZI BAJETI 2023/24 KUZINGATIA JINSIA
Na. Farida Ramadhani, WFM, Dodoma
Serikali imeeleza kuwa Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya mwaka 2023/24 umetoa maelekezo kwa Maafisa Masuuli kuzingatia masuala ya...
MADUKA YA DAWA ZA JUMLA YAUNGA MKONO SERIKALI MWANZA
WAUZAJI wa maduka ya dawa za binadamu kwa jumla jijini Mwanza wamesema wanatekeleza kwa vitendo utoaji wa maslahi kwa wafanyakazi wao ili waweze kutoa...











