MAJALIWA: WATANZANIA TUMIENI NISHATI MBADALA
https://youtu.be/BILrDkbO7wA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kubadilika na kutumia nishati mbadala ili kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi.
Waziri Mkuu ameyasema hayo...
MBUNGE KABATI: WANAWAKE TUSHIKAMANE KUMUUNGA MKONO DKT. SAMIA
Mwandishi wetu, IRINGA
Wito umetolewa kwa Wanawake wote nchini, kushikamana kwa kuhakikisha wanamuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
SERIKALI KUWEZESHA HUDUMA ZA KIBENKI KIMATAIFA
Na Farida Ramadhani, WFM – Dodoma.
Serikali imesema kuwa itaendelea kutoa ushirikiano kwa benki za biashara nchini kuanzisha kampuni tanzu nje ya nchi ili kusambaza...
TANAPA YAWAKARIBISHA WATALII KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA, YATANGAZA NEEMA YA BEI.
Na Boniface Gideon, TANGA
IDADI ya watanzania wanaotembelea hifadhi mbalimbali zilizopo hapa nchini zinazo simamiwa na shirika la hifadhi ya Taifa 'TANAPA' inazidi kuongezeka kadiri...
NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA ZAGEUKIA MIKOPO YA NDANI
Na. Peter Haule, WFM, Arusha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Natu El- Maamry Mwamba, amesema kuwa nchi za Kusini mwa Afrika...








