PROF. MKENDA ANATARAJIA KUFUNGUA MAONESHO YA NANE YA UTAFITI
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda anatarajia kufungua maonesho ya nane ya Utafiti na Ubunifu yanayotarajia kuanza Mei 23 - 25,...
TRILIONI. 3.554 KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 3.5 kwa ajili ya utekelezaji wa...
MAKAMU WA RAIS AWASILI MISRI KUSHIRIKI MKUTANO WA MWAKA WA AfDB
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 22 Mei 2023 amewasili katika mji wa Sharm El Sheikh...
MUWASA YAPOKEA BOMBA KUSAMBAZIA MAJI MITAA SABA
Na Shomari Binda-Musoma
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) imepokea bomba kwaajili ya usambazaji maji mitaa 7 ya pembezoni.
Zoezi la upokeaji...
UUZAJI DAGAA KWA KUTUMIA MIZANI KUANZA MWEZI JULAI
Na Neema Kandoro, Mwanza
Wakala wa Vipimo Mkoani Mwanza (WMA) imesema kuwa mwezi wa saba mwaka huu uuzaji wa dagaa ziwani utafanywa kwa kutumia mizani...
MGORE AFANIKISHA KUPATIKANA BAJAJI MRADI WENYEVITI WA MITAA
Na Shomari Binda-Musoma
MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji Baraza la Wazazi Taifa, Mgore Miraji, ameendesha harambee na kufanikisha kupatikana usafiri wa bajaj ya mradi wa...









