VIJIJI 3 VYA BWASI, BUGUNDA NA KOME MUSOMA VIJIJINI KUPATA MAJI YA BOMBA HIVI...
Na Shomari Binda-Musoma
VIJIJI 3 vya Bwasi,Bugunda na Kome vilivyopo Kata ya Bulinga jimbo la Musoma vijijini vinatarajiwa kupata maji ya bomba kutoka ziwa victoria...
SWEDEN YAONESHA NIA YA UWEKEZAJI KWENYE BIASHARA NCHINI
Na. Peter Haule, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru Sweden kwa misaada mbalimbali iliyoweka alama chanya katika maendeleo...
KADA WA CCM MAARUFU ‘TAI’ AKABIDHI OFISI YA CCM NYAMALOGO KUMUUNGA MKONO KWA VITENDO...
Muonekano wa sehemu ya jengo la Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Nyamalogo katika Jimbo la Solwa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.
Na...
WANAO KICHANGIA CHAMA NA JUMUIYA ZA CCM WATAKIWA KUUNGWA MKONO
Na Shomari Binda-Musoma
WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) wanaokichangia chama na jumuiya kwa shughuli mbalimbali wametakiwa kuungwa mkono kwa kile wanachokitoa.
Hayo yamesemwa na...
WANAWAKE KATA YA KWANGWA WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA VIKUNDI
Na Shomari Binda-Musoma
WANAWAKE katika Kata ya Kwangwa manispaa ya Musoma wamehimizwa kuendelea kujiunga na vikundi ili kupata mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri.
Kauli...
HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBITI YAPATIWA MAFUNZO YA SERA YA MISITU NA UFUGAJI
Halmashauri ya wilaya ya Kibiti mkoani Pwani imeanza kupatiwa Mafunzo ya Sera ya Misitu na Sera ya Ufugaji Nyuki yakilenga kujenga uelewa na kutoa...









