DKT. NCHEMBA AWAAGIZA WATAALAM WA UCHUMI WA KITAIFA NA KIMATAIFA KUTAFUTA SULUHU YA UPUNGUFU...
Na Farida Ramadhani-Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaagiza wataalamu wa Wizara ya Fedha na Mipango na ujumbe kutoka...
BODI YA UTALII NCHINI YAMPONGEZA RAIS SAMIA ROYAL TOUR INAVYOONGEZA WATALII KWA KASI.
Na Boniface Gideon, TANGA
ZAIDI ya watalii Million 1.2 kutoka mataifa mbalimbali wametembelea vivutio mbalimbali vilivyopo haa nchini kwa kipindi cha mwaka 2022 hii ikiwa...
MALARIA BADO PASUA KICHWA TANZANIA BARA WADAU WATAFUTA SULUHU
Na Magrethy Katengu
Wakati Tanzania ikipambana kuhakikisha Janga la Ugonjwa Malaria unatokomezwa kabisa lakini imebainika kuwa changamoto kubwa inayokwamisha juhudi zisikamilike ni pamoja na matokeo...
SELF MICROFINANCE FUND YAWAKARIBISHA WANANCHI WENYE SIFA KUCHANGAMKIA MIKOPO
Na Boniface Gideon, TANGA
Taasisi ya Serikali ya mfuko Self Microfinance Fund inayojihusisha na ukopeshaji wa fedha imefanikiwa kuyagusa makundi mbalimbali na shughuli wanazozifanya wananchi...
MUHONGO KUCHANGIA SARUJI NA MABATI SEKONDARI YA NYASAUNGU
Na Shomari Binda, Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Prof.Sospeter Muhongo ameahidi kuchangia saruji na mabati kwenye ujenzi wa shule ya sekondari Nyasaungu.
Ahadi hiyo...
ORYX GAS YATANGAZA NEEMA KWA WATEJA WAKE MSIMU WA MAONYESHO YA BIASHARA TANGA
Na Boniface Gideon, TANGA
KAMPUNI ya uuzaji na usambazaji wa mitungi ya gas ORYX mkoani Tanga imefanikiwa kufikisha huduma hiyo kwa wananchi waishio pembezoni na...
Wadau wahamasika kuchangia miradi ya kijamii
Na Neema Kandoro, Magu
BAADHI ya wadau wa maendeleo wilayani Magu Mkoani Mwanza wameelezea furaha yao kutokana na utayari wa kuchangia shughuli za maendeleo katika...










