Friday, June 26, 2026
Home 2023 May 7

Daily Archives: May 7, 2023

Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa viongozi wa dini hapa nchini kuendelea kutoa msaada...

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa viongozi wa dini hapa nchini kuendelea kutoa msaada...

BENKI YA CRDB, CARE INTERNATIONAL KUWAINUA WANAWAKE KUPITIA PROGRAMU YA IMBEJU

0
Benki ya CRDB imesaini makubaliano ya kushirikiana na Shirika la Care International kuwawezesha wanawake kupata mafunzo ya namna bora ya uendeshaji wa biashara, usimamizi...

MAWAZIRI 3 WAHITIMISHA ZIARA MARA KWA KUTOA MAELEKEZO

0
Na Shomari Binda-Serengeti MAWAZIRI 3 wa kisekta wamemaliza ziara yao ya siku 2 mkoani Mara kwa maagizo ya serikali kwa kutoa maelekezo kwa wananchi kuzingatia...

SHULE YA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM YA BUHANGIJA YAPATA MSAADA WA DOLA 10,000

0
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu,Cheick Sangare (wa pili kutoka kulia),akimkabidhi msaada wa hundi ya dola 10,000 kwa Mwalimu Mkuu wa shule ya...

MAKAMU WA RAIS NA WAZIRI MKUU WA BURUNDI

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Burundi Mheshimiwa...

AJIKATA SEHEMU ZA SIRI AKIDAI KUCHOSHWA NA UGONJWA ZAIDI YA MIAKA MITANO

0
Maiko samweli (32 ) anadaiwa kujikata na kuzinyofoa sehemu zake za Siri Kwa Madai ya kuchoshwa na Maradhi yanayomsumbua ambayo hayakuwekwa wazi. Mkazi wa Kijiji...