WAZIRI JAFO AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na Watendaji wa Ofisi ya Makamu wakiongozwa na...
MAWAZIRI WATATU WAJADILI UWEKEZAJI NA KILIMO
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto) na...
WARATIBU HUDUMA NDOGO ZA FEDHA WAPIGWA MSASA
Na Farida Ramadhani, WFM-Dodoma.
Serikali imeandaa mafunzo ya waratibu wa biashara ya huduma ndogo za fedha ili kuwajengea uwezo na kupata mrejesho wa utekelezaji wa...
WAZIRI MKUU AZINDUA HUDUMA YA UPANDIKIZAJI ULOTO BENJAMIN MKAPA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali iliamua kuwekeza shilingi bilioni 2.7 ili kuanzisha huduma ya upandikizaji uloto na kupunguza gharama za matibabu hayo kwa...
WANAWAKE WATAKIWA KUVUMILIA KWENYE NDOA KUEPUSHA WATOTO WA MITAANI
Na Shomari Binda-Musoma
WANAWAKE wametakiwa kuwa wavumilivu kwenye ndoa na kutafuta usuruhishi ili kulea familia na kuepusha watoto wa mitaani.
Kauli hiyo imetolewa kwa nyakati tofauti...
Wananchi watakiwa kuwa na tahadhari dhidi ya Magonjwa yasiyosahaulika
Wananchi wanaoishi kando Kando mwa ziwa Victoria wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya Magonjwa ya kuambukizwa yanayosababishwa na maji ya ziwa na vijito yakiwemo ya...
MBUNGE AGNES AOMBA MIRADI YA MAJI VIJIJI VYA SERENGETI
Na Shomari Binda
MBUNGE wa viti maalumu mkoa wa Mara,Agnes Marwa,ameiomba serikali kupeleka miradi ya maji kwenye vijiji vya Serengeti ili kumtua mama ndoo kichwani.
Maombi...
CHANGIA WAGONJWA WANAOUGUA SARATANI, WANAHITAJI SADAKA YAKO
Na Magrethy Katengu
Umoja wa Machifu Tanzania kwa kushirikiana na taasisi ya Saratani Ocean Road wameandaa mechi ya mpira wa miguu kati ya Machifu na...












