WANANCHI MUSOMA WAMTUMA MBUNGE MATHAYO KWA RAIS SAMIA
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa jimbo la Musoma mjini wamemtuma mbunge wao kumfikishia shukrani Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan, salamu za shukrani kutokana na miradi...
WMA MARA YALIZISHWA NA MATUMIZI YA MIZANI MASOKONI
Na Shomari Binda-Butiama
WAKALA wa vipimo mkoa wa Mara (WMA) imeonyesha kuridhishwa na matumizi ya vipimo vinavyotumika kwenye uuzaji wa bidhaa mbalimbali.
Kauli hiyo imetolewa na...
WMA MARA YALIDHISHWA NA MATUMIZI YA MIZANI MASOKONI
Na Shomari Binda-Butiama
WAKALA wa vipimo mkoa wa Mara (WMA) imeonyesha kulidhishwa na matumizi ya vipimo vinavyotumika kwenye uuzaji wa bidhaa mbalimbali.
Kauli hiyo imetolewa na...
NCHI 14 ZATHIBITISHA KUSHIRIKI MAONYESHO YA 47 YANAYOTARAJIWA KUFANYIKA SABASABA DAR ES SALAAM
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya Maendeleo ya biashara Tanzania (TanTRADE) imesema maonyesho ya mwaka huu yatakuwa ya kipekee sana kwani jumla ya nchi 14 zimethibitisha...
TMRC YAORODHESHA HATI FUNGANI ( BOND ) SOKONI AWAMU YA NNE
Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa deni la Taifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Bwn. Japhet Justine ( katikati ) akigonga kengere kuashiria...








