TBS WATOA ELIMU , UMUHIMU WA KUZINGATIA TAARIFA ZILIZOPO KWENYE VIFUNGASHIO VYA BIDHAA KABLA...
Kaimu Meneja wa Ukaguzi na Utekelezaji wa Sheria TBS, Bw. Moses Mbambe akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi za TBS Makao Makuu leo...
FILAMU YA KWANZA YA UBUNIFU WA KISAYANSI YAZINDULIWA
Na Magrethy KatenguAzam Tv Kwa ushirikiano na Power Studio imezindua filamu ya kwanza yenye Ubunifu wa Kisayansi "EONII" iliyojaa simulizi za kusisimua vionjo vyenye...
UMMY: TUTAJENGA MASOKO YA KISASA TANGA WANANCHI MSIHOFU
NA BONIFACE GIDEON, TANGA
Mbunge wa Jimbo la Tanga ambaye pia ni Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Ujenzi na ukarabatI wa Masoko makubwa Jijini...
ALIYOYASEMA DC JOKATE BAADA YA KUFANYIKA MAMATHON KOROGWE
Na Mwandishi Wetu Korogwe
MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amesema kuwa kazi kubwa inayofanywa na Serikali katika kuboresha miundombinu za huduma...







