Friday, June 26, 2026
Home 2023 May 12

Daily Archives: May 12, 2023

KERO YA USHURU SOKO LA MCHELE LA MAGUGU KUFANYIWA KAZI

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya...

DKT. HASHIL ABDALLAH AMEWAOMBA WAMILIKI WA VIWANDA KUTUMIA TAALUMA YA KAIZEN

0
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amewaomba wamiliki wa viwanda kutumia taaluma ya KAIZEN kuunga mkono juhudi za Serikali...

DKT. NCHEMBA ALISHAURI BARAZA LA MAWAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI WA EAC KUTAFITI VIKWAZO...

0
Na Benny Mwaipaja, WFM, Arusha Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu lameck Nchemba, amezishauri nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanya utafiti...

TMFD yakutana na wadau wa maendelevu kuweka mikakati ya uvuvi endelevu

0
Mwandishi wetuDar es Salaam Shirika la Tanzania Media for Maritime and Fisheries Development (TMFD) limekutana na wadau wa kimaendeleo na kufanya majadiliano mafupi ya namna...

SERIKALI KUGHARAMIA MATIBABU YA MAJERUHI NA MAZISHI YA WANAFUNZI WA AJALI- BAHI

0
https://youtu.be/h-v9c43h1Y0 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema Serikali itagharamia mazishi ya Wanafunzi wawili (2) wa shule ya sekondari  Mpalanga Wilayani Bahi waliofariki...

WANANCHI WAPONGEZA UJENZI WA BARABARA KWA LAMI KIRUMBA

0
WAKAAZI wa Kata ya Kirumba Manispaa ya Ilemela wamepongeza serikali ya awamu ya sita kwa ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita moja kwa...

MUHONGO APELEKA MAOMBI HALMASHAURI IKAMILISHE MIRADI YA MAENDELEO

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini,Profesa Sospeter Muhongo, ameiomba halmashauri ya Wilaya ya Musoma ikamilishe miradi mikubwa ya maendeleo iliyopo. Moja ya miradi...

KATIBU MWENEZI CCM AKUTANA NA VYOMBO VYA HABARI, ATETA KUJENGA USHIRIKIANO WA PAMOJA

0
Na Magrethy Katengu Katibu wa NEC, Itikadi wa Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Sophia Edward Mjema amewaomba waandishi wote wa habari kuanza ukurasa mpya...