Friday, June 26, 2026
Home 2023 April

Monthly Archives: April 2023

NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA SHEREHE ZA MEI MOSI-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na Maandalizi kuelekea sherehe za siku ya wafanyakazi duniani zitakazofanyika kesho Mei 1, 2023 kitaifa Mkoani Morogoro katika...

DC.LWOTA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA MADIWANI NA WATUMISHI ITIGI DC.

0
HALMASHAURI ya Itigi MKOANI SINGIDA imekuja na mpango wa kutokomeza baa la njaa katika Wilaya hiyo kwa kuibua Kampeni ya Ondoa Njaa Manyoni (ONJAMA)...

NSEKELA AONGOZA HARAMBEE SHULE ZA MARIAN, BAGAMOYO

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akilisalimiana na Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama...

POLISI YAANZA UCHUGUZI MADAI YA MTOTO KUFARIKI NA KUZIKWA KUDAIWA AMEOKANA AKIWA HAI

0
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Wilbrod Mutafungwa akiwa ameambatana na wataalam mbalimbali wakiwemo kutoka Ofisi ya Mkemia...

BIHIMBA MGENI RASMI SIKU YA WAMAMA WAOMBOLEZAJI NA KUKEMEA ROHO YA USHOGA NA USAGAJI...

0
 Na Mwandishi Wetu Mwanaharakati Huru Tanzania Bihimba Nassoro Mpaya Mkazi wa Ukonga Dar Es Salaam atakuwa Mgeni rasmi siku ya Wamama Waombolezaji Tanzania lenye lengo...

BENKI YA MWANGA HAKIKA YAZINDUA TAWI JIPYA LA KISASA JIJINI ARUSHA

0
Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba (wa pili kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Mwanga Hakika  Bank Eng....

HAKUNA MGONJWA MPYA WA MARBURG, SERIKALI INAENDELEA NA UFUATILIAJI

0
Na. WAF - Dar es Salaam Taarifa zinaonesha kuwa Kuanzia tarehe 21 Aprili 2023 hakuna mgonjwa yeyote mwenye virusi vya ugonjwa wa Marburg Mkoani Kagera Hayo...

USALAMA MAHALA PA KAZI NI HALI YA KILA MFANYAKAZI

0
Na; OWM – KVAU: MOROGORO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema Serikali ya...

TIGO WASHINDA TUZO : KAMPUNI INAYOZINGATIA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI

0
 Mhe. Prof. Joyce Ndalichako Waziri wa Nchi , Ofisi ya Waziri Mkuu ( Kazi ,  Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu ) akimkabidhi tuzo ya...

BIHIMBA ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA WANAFUNZI S/M MISITU

0
Bwn. Bihimba Mpaya ( katikati ) akikabidhi Vifaa vya Michezo kwa Viongozi wa Michezo Shule ya Msingi Misitu , Pembeni yake ( aliyevaa Kofia...