BODI YA UTALII YATOA MSAADA KWA JAMII
Na. Mwandishi wetu, DARA ES SALAAM
Bodi ya Utalii Tanzania imetoa msaada wa baiskeli kwa wenye ulemavu ikiwa ni mwendelezo wa kushirikiana na jamii hususani...
DINI INA MCHANGO MKUBWA WA KUJENGA MAADILI KWENYE TAIFA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini waendelee kupiga vita vitendo vya mmomonyoko wa maadili kwa jamii ili kulifanya Taifa kuwa...
BENKI YA DUNIA YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA TANZANIA
Waziri wa Fedha na Mipango na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango=Zanzibar, Mhe....
WAZAZI WAMETAKIWA KUWAPELEKA WATOTO WENYE MATATIZO YA MTOTO WA JICHO
Na.WAF-Mbarali
Wazazi wametakiwa kuwapeleka watoto wenye matatizo ya mtoto wa jicho wanayozaliwa nayo au yaliyotokana na majeraha ili kupata matibabu sahihi na kumuwezesha ubongo kukua...
WAKAZI WA MBARALI WAIPONGEZA SERIKALI KWA MATIBABU YA MACHO
Na. WAF, Mbarali
Wakazi wa Mbarali wameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Afya na wadau wa huduma za macho kwa kuwapatia matibabu ya macho bila malipo.
Akizungumza...
BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU IMEZINGATIA VIPAOMBELE MUHIMU KATIKA MASUALA YOTE YA URATIBU...
Na.Mwandishi Wetu - Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amesema Bajeti ya Ofisi...












