Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 April 4

Daily Archives: April 4, 2023

WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO SITA KWA TAMISEMI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa maagizo sita kwa viongozi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI na Umoja wa Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa...

SERIKALI IMEPOKEA MATOKEO YA UFUATILIAJI NA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUKABILIANA NA...

0
Na Joseph Mahumi na Farida Ramadhani Serikali imepokea Matokeo ya Ufuatiliaji na Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango wa Kukabiliana na Madhara ya Kijamii na Kiuchumi...

WANANCHI WATUNZE MLIMA KILIMANJARO-JAFO

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa wito kwa Watanzania kuhifadhi na kuuutunza Mlima Kilimanjaro...
MBUNGE, JIMBO, CHAKULA

MBUNGE WA JIMBO AGAWA CHAKULA CHA DHARURA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO

0
Leo, Jumanne, 4.4.2023, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametembelea Kijiji cha Kusenyi, Kata ya Suguti kwa malengo yafuatayo: kutoa pole...

STAMICO KUWAKUTANISHA WACHIMBAJI WADOGO NA WADAU WA MADINI YA VIWANDA

0
Na Beatrice Sanga MAELEZO Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) litawakutanisha Wachimbaji Wadogo na Wadau wa Madini ya Viwandani katika mkutano unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho...

TARI – DAKAWA YAPATIWA MILIONI 30 KUSAFISHA MBEGU ZA ASILI ZA MPUNGA

0
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya UVIKO-19, imeipatia Taasisi ya Utafiti wa Kilimo...
UMMY, WAGONJWA, WAPYA

UMMY: HAKUNA WAGONJWA WAPYA WALA VIFO VYA WATU WALIOPATIKANA NA UGONJWA WA MARBURG

0
Na Magrethy Katengu Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema muenendo wa Ugonjwa wa MARBURG uliogundulika hivi karibuni Wilaya ya Bukoba,Vijijini,Mkoani Kagera hakujapatikana Wagonjwa wapya wala...
DITOPILE, FUTARI, KONDOA

DITOPILE AGAWA FUTARI KONDOA, ASISITIZA KUIOMBEA NCHI NA KUMUOMBEA RAIS SAMIA

0
Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile amegawa Futari kwa Wazee, Wajane na watu...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA