MAHIMBALI APOKEA TAARIFA ZA SOTTA MINING CORPORATION LTD
Yaandaa Mpango wa Uhamishaji Makazi Kupisha Mradi wa Dhahabu wa Nyanzaga
Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amefanya kikao jijini Dodoma na Kampuni ya...
KITUO CHA AFRIKA MASHARIKI CHA MAFUNZO YA ULINZI NA USALAMA WA VIMELEA CHAFUNGULIWA NCHINI
Na. Catherine Sungura,Dar es salaam
Serikali itaendelea kuboresha huduma za Maabara zote nchini kwa kuzingatia matakwa ya ulinzi na usalama wa Kibiolojia na kuhakikisha usalama...
RAMADHANI OMARY ACHAGULIWA KUWA MJUMBE BARAZA LA WAFANYAKAZI TMA
Na Mwandishi wetu
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) wamemchagua Ndg. Ramadhani Omary kuwa Katibu wa Baraza la...
NDEGE AINA YA BOENG 767 – 300 KUWASILI NCHINI KWA AJILI YA KUSAFIRISHA MIZIGO...
Shirika la Ndege ATCL linamshukuru Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea kwenye shamba la Mifugo ng'ombe 500 maalum wa nyama ambao hadi sasa wamefikia...
DKT. MPANGO AMETOA MAAGIZO SITA YA KUZINGATIWA KATIKA MAANDALIZI YA DIRA YA MAENDELEO YA...
Na Farida Ramadhani, WFM -Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametoa maagizo sita ya kuzingatiwa katika...
RAIS SAMIA ATEUA, ABADILI VITUO VYA KAZI MABALOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya vituo ambapo balozi wa Tanzania nchini Malawi amehamishiwa Cuba na...
TUTAENDELEA KUTEKELEZA KANUNI ZA AFYA ZA KIMATAIFA
Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Meja Jenerali Charles Mbuge amesema Tanzania imeendelea kushirikiana na Shirika la Afya Duniani...
MPANGO: AMETOA RAI KWA WIZARA ZOTE, TAASISI ZA UMMA NA WATANZANIA WANAOISHI UGHAIBUNI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa Wizara zote, Taasisi za Umma, Idara Zinazojitegemea, Wakala...
MKENDA: TAYARI RASIMU ZA MAPITIO YA SERA YA ELIMU NA ILE YA MITAALA ZIMEKAMILIKA
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema tayari rasimu za mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo na ile ya mitaala zimekamilika na wakati...
WAKRISTO 6147 WAFIKIWA NA ELIMU YA UGONJWA WA MARBURG KATIKA IBAADA YA JUMAPILI.
Na.Elimu ya Afya kwa Umma.
Ikiwa Wizara ya Afya ,Idara ya Kinga ,Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma ikiendelea na juhudi mbalimbali za uelimishaji...













