NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA SHEREHE ZA MEI MOSI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na Maandalizi kuelekea sherehe za siku ya wafanyakazi duniani zitakazofanyika kesho Mei 1, 2023 kitaifa Mkoani Morogoro katika...
DC.LWOTA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA MADIWANI NA WATUMISHI ITIGI DC.
HALMASHAURI ya Itigi MKOANI SINGIDA imekuja na mpango wa kutokomeza baa la njaa katika Wilaya hiyo kwa kuibua Kampeni ya Ondoa Njaa Manyoni (ONJAMA)...
NSEKELA AONGOZA HARAMBEE SHULE ZA MARIAN, BAGAMOYO
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akilisalimiana na Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama...
POLISI YAANZA UCHUGUZI MADAI YA MTOTO KUFARIKI NA KUZIKWA KUDAIWA AMEOKANA AKIWA HAI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Wilbrod Mutafungwa akiwa ameambatana na wataalam mbalimbali wakiwemo kutoka Ofisi ya Mkemia...
BIHIMBA MGENI RASMI SIKU YA WAMAMA WAOMBOLEZAJI NA KUKEMEA ROHO YA USHOGA NA USAGAJI...
Na Mwandishi Wetu
Mwanaharakati Huru Tanzania Bihimba Nassoro Mpaya Mkazi wa Ukonga Dar Es Salaam atakuwa Mgeni rasmi siku ya Wamama Waombolezaji Tanzania lenye lengo...
BENKI YA MWANGA HAKIKA YAZINDUA TAWI JIPYA LA KISASA JIJINI ARUSHA
Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba (wa pili kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Mwanga Hakika Bank Eng....








