IMF YAIDHINISHA MKOPO NAFUU WA DOLA MILIONI 153 KUSAIDIA BAJETI YA SERIKALI
Tafadhali tunaomba msaada
Na Joseph Mahumi, WFM
SHIRIKA la Fedha la Kimataifa (IMF), jana Jumatatu Aprili 24, 2023 limeidhinisha kutolewa kwa mkopo wenye masharti nafuu wa kiasi cha...
SHERIA MPYA YA UBIA MBIONI KUKAMILIKA
Na Joseph Mahumi, WFM, Arusha
SERIKALI ipo katika hatua za mwisho za marekebisho ya Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi...
SERIKALI KUHAKIKISHA MISAMAHA YA KODI INATUMIKA IPASAVYO
Na Farida Ramadhani, WFM – Dodoma
Serikali imesema inaendelea kutekeleza sheria katika ufuatiliaji na tathmini ya misamaha ya kodi ikiwemo Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)...
WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAWASHUKURU WAANDISHI WA HABARI
Na Joseph Mahumi, WFM, Arusha.
WIZARA ya Fedha na Mipango imesema inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa waandishi wa habari katika kuuhabarisha umma kusuhu Sera,...
WAKUU WA MIKOA DHIBITINI MAAMBUKIZI YA MALARIA-MAJALIWA
Aitaja mikoa ya Tabora, Mtwara, Kagera, Shinyanga na Mara kuongoza kwa kiwango cha maambukizi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa mikoa ambayo ina kiwango...
TANZANIA KUFANYA MAONESHO YA SABA YA UTALII, (SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO-S!TE), MWEZI OKTOBA
Na. Beatrice Sanga
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii nchini (TTB) imezindua onyesho la Saba la Kimataifa la utalii maarufu kama Swahili...
MAJALIWA: MSINUNUE DAWA NA KUNYWA BILA KUPIMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewakumbusha Watanzania kufanya vipimo mara wanapobaini kuwa na homa, badala ya kujinunulia dawa na kunywa.
Waziri Mkuu ameyasema hayo wakati wa...
JAMII YAASWA KUTENDA MEMA
JAMII imeaswa kutenda matendo mema ili kudumisha misingi ya utulivu ambayo taifa letu imejenga kwa muda mrefu.
Wito huo umetolewa kwa nyakati tofauti jana Jijini...











