TIC YAWAKUTANISHA WADAU WA MIRADI YA UWEKEZAJI
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimewakutanisha wawekezaji na wadau mbalimbali katika kikao kilichofanyika jijini Dar wa Salaam ili kujadili kwa pamoja changamoto za wawekezaji...
HALI YA USALAMA KANDA YA DAR ES SALAAM NI SHWARI HIVYO SIKUKU YA PASAKA...
Na Magrethy Katengu
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam limetahadharisha wale wanaofikiria kufanya uhalifu siku ya Sikuu ya Pasaka waache mara Moja...
MFUMO WA BENKIWAKALA WA BIMA WAKUZA BIASHARA YA BIMA NCHINI
Na. Farida Ramadhani WFM, Dodoma
Serikali imeeleza kuwa Mfumo wa Benkiwakala wa Bima umesaidia kukuza biashara ya Bima nchini.
Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa...
WAZIRI BITEKO AONYA WADAU WENYE VIWANDA KUWALALIA BEI WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI
Na. Magrethy Katengu
WAZIRI wa Madini Dkt. Doto Biteko amewataka wadau wa viwanda vya madini kununua madini ya wachimbaji wadogo kwa bei elekezi ili kuepukana...
MFALME KWENYE UFALME WAKE KURINDIMA TENA APRIL 22 MJI KASORO BAHARI
WAKALI wa waandaji wa Mapambano ya Ngumi za Kulipwa nchini Peaktime watangaza rasmi pambano la "Mfalme kwenye ufalme wake'' linalotarajiwa kufanyika Aprili 22,2023 Ukumbi...








