Friday, June 26, 2026
Home 2023 May

Monthly Archives: May 2023

DKT. NCHEMBA AWAAGIZA WATAALAM WA UCHUMI WA KITAIFA NA KIMATAIFA KUTAFUTA SULUHU YA UPUNGUFU...

0
Na Farida Ramadhani-Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaagiza wataalamu wa Wizara ya Fedha na Mipango na ujumbe kutoka...

BODI YA UTALII NCHINI YAMPONGEZA RAIS SAMIA ROYAL TOUR INAVYOONGEZA WATALII KWA KASI.

0
Na Boniface Gideon, TANGA ZAIDI ya watalii Million 1.2 kutoka mataifa mbalimbali wametembelea vivutio mbalimbali vilivyopo haa nchini kwa kipindi cha mwaka 2022 hii ikiwa...

MALARIA BADO PASUA KICHWA TANZANIA BARA WADAU WATAFUTA SULUHU

0
Na Magrethy Katengu Wakati Tanzania ikipambana kuhakikisha Janga la Ugonjwa Malaria unatokomezwa kabisa lakini imebainika kuwa changamoto kubwa inayokwamisha juhudi zisikamilike ni pamoja na matokeo...

SELF MICROFINANCE FUND YAWAKARIBISHA WANANCHI WENYE SIFA KUCHANGAMKIA MIKOPO

0
Na Boniface Gideon, TANGA Taasisi ya Serikali ya mfuko Self Microfinance Fund inayojihusisha na ukopeshaji wa fedha imefanikiwa kuyagusa makundi mbalimbali na shughuli wanazozifanya wananchi...

MUHONGO KUCHANGIA SARUJI NA MABATI SEKONDARI YA NYASAUNGU

0
Na Shomari Binda, Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Prof.Sospeter Muhongo ameahidi kuchangia saruji na mabati kwenye ujenzi wa shule ya sekondari Nyasaungu. Ahadi hiyo...

ORYX GAS YATANGAZA NEEMA KWA WATEJA WAKE MSIMU WA MAONYESHO YA BIASHARA TANGA

0
Na Boniface Gideon, TANGA KAMPUNI ya uuzaji na usambazaji wa mitungi ya gas ORYX mkoani Tanga  imefanikiwa kufikisha huduma hiyo kwa wananchi waishio pembezoni na...

Wadau wahamasika kuchangia miradi ya kijamii

0
Na Neema Kandoro, Magu BAADHI ya wadau wa maendeleo wilayani Magu Mkoani Mwanza wameelezea furaha yao kutokana na utayari wa kuchangia shughuli za maendeleo katika...

MAJALIWA: WATANZANIA TUMIENI NISHATI MBADALA

0
https://youtu.be/BILrDkbO7wA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kubadilika na kutumia nishati mbadala ili kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi. Waziri Mkuu ameyasema hayo...

MBUNGE KABATI: WANAWAKE TUSHIKAMANE KUMUUNGA MKONO DKT. SAMIA

0
Mwandishi wetu, IRINGA Wito umetolewa kwa Wanawake wote nchini, kushikamana kwa kuhakikisha wanamuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...

SERIKALI KUWEZESHA HUDUMA ZA KIBENKI KIMATAIFA

0
Na Farida Ramadhani, WFM – Dodoma. Serikali imesema kuwa itaendelea kutoa ushirikiano kwa benki za biashara nchini kuanzisha kampuni tanzu nje ya nchi ili kusambaza...