MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SEMINA YA WANAHISA WA CRDB
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Mabenki hapa nchini kuendelea kubuni madirisha maalum ya...
MAKAMU WA RAIS AITEMBELEA FAMILIA YA HAYATI EDWARD SOKOINE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 19 Mei 2023 wameitembelea...
PATA MKOPO WA SIMU KWA SH. 1000 KUTOKA TIGO , WATEMBELEE VIWANJA VYA BUNGE...
Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti na Mahusiano na Serikali kutoka Tigo Bi . Sylvia Balwire akitambulishwa bungeni baada ya maswali na majibu katika Mkutano...
CCM MARA YAWAPIGA TAFU WAUGUZI HOSPITAL YA MKOA
Na Shomari Binda-Musoma
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara kimechangia kiasi cha shilingi milioni 6 kuwezesha mradi wa duka la dawa la chama cha...
STAMIGOLD, GST ZATAKIWA KUFANYA TAFITI ZA KINA BIHARAMULO
Mbibo Asisitiza Afya, Usalama Mahala pa kazi
STAMIGOLD Yaajiri Watanzania 566
Takriban kilo 50 mpaka 60 Zinazalishwa na Stamigold kila mwezi
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini...
NMB YATANGAZA NEEMA YA BIL.60 KILA MWEZI KWA WAFANYABIASHARA WADOGO, WAJASIRIAMALI.
Na Boniface Gideon, TANGA
BENKI ya NMB katika kuunga mkono Serikali imetangaza Neema kwa Wafanyabiashara wadogo ya Bilioni 60 kila mwezi kwa ajili wa wajasiriamali...










