MAKAMU WA RAIS AZINDUA HOTELI YA KITALII NGORONGORO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 16 Mei 2023 akiwa ziarani Mkoani Arusha amefungua rasmi ...
IDARA ZILIZOANZISHWA KATIKA MIKOA NA HALMASHAURI KUHIMARISHWA.
Mkurugenzi wa Idara ya Uwezeshaji Kiuchumi na Maendeleo ya Sekta Binafsi, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Bw. Conrad Milinga kwa niaba ya Katibu...
TUYAENZI MEMA YA MAREHEMU BERNARD MEMBE-RAIS DKT SAMIA
*Asema atakumbukwa na Jumuiya za Kimataifa kwa utumishi wake
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba watanzania kumuombea na kuenzi yote...
WASANII AMANI CENTER WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MIKOPO YA HALMASHAURI
Na Boniface Gideon, TANGA
Vijana wanaounda kikundi Cha Amani Kwanza kilichopo kata ya Magaoni Jijini Tanga kinachojihusha na Ujasiriamali, Muziki na Utoaji wa Elimu ya...
SERIKALI YAANDAA MFUMO WA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
Na Farida Ramadhani, WFM - Dodoma
Serikali inaandaa mfumo wa kielektroniki wa Huduma Ndogo za Fedha ili kuboresha ufanisi wa usimamizi wa Mifuko na Programu za Uwezeshaji...
TUKIO LA PANDA 2023 KUKUTANISHA WASICHANA WAJASIRIAMALI KUJADILI UJUZI WA KIDIJITALI KWA BIASHARA ENDELEVU
Young women entrepreneurs in Tanzania are set to gather at the Panda Event 2023 on May 12th, organized by the Her Initiative organization in...
MBUNGE MATHAYO KUKUTANA NA VIJANA KUJADILI MAENDELEO
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini, Vedaatus Mathayo, kesho anakutana na vijana we jimbo hilo kuzungumzia shughuli za maendeleo ikiwemo miradi ya...
SERIKALI KUSHIRIKISHA WANANCHI KUHUSU KUONDOLEWA KWA KIJIJI CHA NGARESERO KWENYE PORI TENGEFU LA POLOLET,...
Serikali imesema kuwa itashirikisha wananchi kuhusu utekelezaji wa Maamuzi ya Baraza la Mawaziri ya kukiondoa Kijiji cha Ngaresero katika Pori Tengefu la Ziwa Natron...
M/KITI UVCCM MKOA TANGA AWAFUNDA VIJANA KUTUMIA FURSA ZA KILIMO MATI MLINGANO
Na Boniface Gideon, MUHEZA
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga Ramadhan Omary leo aliongoza ziara ya kamati ya Utekelezaji...
DC BOMBOKO Ahimiza Wazazi Kutambua Wajibu Wao Katika Kumlea Mtoto
Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe imeadhimisha Siku ya Familia Duniani wilayani hapo kwa kufanya mdahalo uliowahusisha viongozi mbalimbali wa Serikali, Dini, Wananchi na Wanafunzi...













