Friday, June 26, 2026
Home 2023 June

Monthly Archives: June 2023

AFYA YA UDONGO KUPIMWA VIJIJI 100 MKOA WA MARA NA SERIKALI KUPITIA OCP AFRIKA

0
Na Shomari Binda-Musoma JUMLA ya vijiji 100 vilivyopo mkoani Mara,vinatarajiwa kufikiwa katika zoezi la upimaji wa afya ya udongo ili kupata mazao yenye tija. Zoezi hilo...

DKT. BITEKO ATOA SIKU 14 KUANZA UZALISHAJI WA ALMASI MWADUI

0
Ujenzi wa Bwawa la Tope Laini wafikia asilimia 97 Mgodi wa Uchimbaji Mkubwa wa Madini ya Almasi wa Mwadui kuanza uzalishaji baada ya kusitisha uzalishaji...

JINSI YA KUIBUKA MSHINDI WA TIGO CHA WOTE , TAZAMA HAPA WAKIKABIDHIWA MAMILIONI YA...

0
 Na Mwandishi Wetu. https://www.youtube.com/embed/wjMkmizbevE  Ikiwa ni Takribani wiki sasa tangu kampuni ya Mawasiliano ya Tigo izindue Kampeni yake ya CHA WOTE yenye lengo la kuwasaidia wateja...

WAZIRI MKUU: MJADALA WA BANDARI USILIGAWE TAIFA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita...

MIKATABA YA UENDELEZAJI BANDARI ITAZINGATIA MASLAHI YA NCHI-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha kuwa mikataba ya utekelezaji wa makubaliano ya uendeshaji wa maeneo ya bandari nchini kati ya Serikali ya...

WATUHUMIWA 59 MBARONI MATUKIO YA KIHALIFU

0
Na Magrethy Katengu Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Mkoa wa Dar es salaam linawashikilia Watuhumiwa 59 kwa makosa mbalimbali ikiwemo Unyang'anyi, kuvunja nyumba usiku...

BRELA YAWAJENGEA UWEZO MAAFISA BIASHARA KULEA WAFANYABIASHARA

0
Na Shomari Binda-Musoma MAAFISA biashara 138 kutoka mikoa 10 hapa nchini wametakiwa kuwa marafiki wa wafanyabiashara na sio maadui katika kuinua uchumi wa taifa. Licha ya...

TAASISI ZA FEDHA ZAHIMIZWA KUISAIDIA SERIKALI KUKUSANYA NA KUTUNZA TAARIFA ZA WAMILIKI MANUFAA WA...

0
Taasisi za kifedha nchini zimehimizwa kuisaidia Serikali kukusanya na kutunza taarifa za Wamiliki Manufaa wa Kampuni kwa kuwa wanazitambua kampuni hizo kupitia huduma mbalimbali...

BENKI YA AfDB YAONESHA NIA KUONGEZA NGUVU UTEKELEZAJI WA MRADI WA SGR

0
Na Peter Haule, WFM, Dodoma Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) pamoja na mambo mengine imeonesha nia ya kuongeza nguvu katika kusaidia utekelezaji wa mradi...