WASHINDI WA TATHMINI YA UBORA WA HUDUMA HOSPITAL YA RUFAA MARA WAPEWA ZAWADI
Na Shomari Binda-Musoma
IDARA ya ubora wa huduma hospitali ya rufaa mkoa wa Mara imetoa zawadi kwa washindi wa tathmini ya ubora wa huduma ambapo...
BRELA YAWAITA WAFANYABIASHARA KUSAJILI BIASHARA ZAO
Na Boniface Gideon, TANGA
WAKALA wa usajili wa biashara na leseni ‘BRELA’ imewataka wafanyabishara wote wakubwa, wakati na wadogo waliopo katika maeneo mbalimbali hapa nchini...
SERIKALI YAELEKEZA MILIONI 573 UJENZI WA WANYERE SEKONDARI
Na Shomari Binda-Musoma
SERIKALI kupitia bajeti ya mwaka 2023/2024 ya Ofisi ya Rais (TAMISEMI) itatoa kiasi cha shilingi milioni 573 kupitia mradi wake wa SEQUIP...
Shirika la Americares lamwaga vifaa vyenye thamani ya Tsh Milioni 234 Bugando
Na Sheila Katikula, Mwanza
Shirika la Americares limetoa vifaa tiba vya upasuaji wa ugonjwa wa fistula ya uzazi vyenye thamani ya sh Milioni 234.2 kwenye...
TENGENI BAJETI YA PROGRAMU JUMUISHI- DKT. GWAJIMA
Rai imetolewa kwa Wataalamu wa Mipango na Uratibu katika Sekretarieti za Mikoa kuhakikisha wanatenga bajeti za utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na...
ACT WAZALENDO YASHAURI SERIKALI KUSHUSHA GHARAMA YA NISHATI MBADALA
Na Magrethy Katengu
Chama cha ACT wazalendo kimeishauri serikali kuangalia namna bora ya kusaidia Wananchi wanaoshindwa kumudu gharama za kununua nishati mbadala ikiwemo gesi ili...
DKT. KIRUSWA ATOA ONYO KWA WAFANYABISHARA WA MADINI YA JASI
Awataka kufuata bei elekezi ya Madini ya Jasi
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ametoa onyo kwa Wafanyabishara wa Madini ya Jasi kufuata bei...
NDEGE MPYA YA MIZIGO YAKABIDHIWA KWA WAKALA WA NDEGE ZA SERIKALI TANZANIA
Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing ya nchini Marekani imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F kwa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania...
WAZIRI MKUU AKIJIBU MASWALI YA PAPO KWA HAPO BUNGENI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali ya Wabunge, Bungeni Jijini Dodoma, Mei 31, 2023
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka kwa Mbunge wa Viti...












