MUHONGO AWAHIMIZA WANANCHI KUONGEZA KASI KUCHANGIA UJENZI WA SEKONDARI
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini,Prof.Sospeter Muhongo,amewataka wananchi wa Kijiji cha Muhoji Kata ya Bugwema kuonheza kasi cha kuchangia ujenzi wa sekondari...
FCC KUFANYA MAADHIMISHO YA BIDHAA BANDIA JUNI 8-15, DODOMA
Na Magrethy Katengu
Tume ya Taifa ya ushindani nchini FCC inatarajia kufanya maadhimisho ya June 8-15 mwaka huu ambapo na kilelele chake kitafanyika Dodoma wiki...
WAKULIMA WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ILI KUONGEZA TIJA KATIKA MAZAO
Na Neema Kandoro, Mwanza
KAMPUNI ya Afri Tea & Coffee Blenders wazalishaji wa majani ya chai na kahawa imewapongeza wakulima nchini kwa kulima mazao yanayotumiwa...
WATENDAJI WA SERIKALI ZINGATIENI SHERIA-MAJALIWA
*Asema lengo ni kuiepusha Serikali kuingia katika migogoro
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa idara na taasisi zote za Serikali watekeleze majukumu yao kwa...
WAFANYAKAZI BARRICK BULYANHULU WAPONGEZWA KWA KUFANIKISHA USHINDI WA JUMLA TUZO ZA AFYA NA USALAMA...
Meneja Mkuu wa Barrick Bulyanhulu,Cheick Sangare akiongea katika hafla hiyo.
Meneja wa Usalama katika mgodi wa Bulyanhulu,Duncan Mclaren akiongea katika hafla hiyo.
Mfanyakazi wa Barrick Bulyanhulu,...
MKAKATI WA SMZ WA KUWAREJESHA SKULI WATOTO WALIOACHA MASOMO.
NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR.
WENYEVITI wa Kamati za Skuli pamoja na Vikundi vya Ulinzi Shirikishi nchini,wameshauriwa kutoa taarifa sahihi za watoto walioacha masomo na kubaki mitaani...
HUDUMA ZA TIGO ZANOGESHA ,KARIBU KILI FAIR 2023
Na Mwandishi Wetu.
Kampuni ya Mawasiliano nchini, Tigo imeongeza wigo wa soko la bidhaa zake kwa kuwafikia wadau wa sekta ya Utalii wanaoshiriki kwenye maonyesho...
BARRICK YADHAMINI KONGAMANO LA WANAFUNZI CHUO CHA UHASIBU ARUSHA
Ofisa Rasilimali Watu wa Barrick North Mara ,Gloria Jimmy akizungumza katika kongamano la kuwajengea uwezo wanafunzi wa Vyuo vikuu vilivyopo mikoa ya Arusha na...
PROF. MKENDA AZINDUA BARAZA DIT , LAPEWA MAJUKUMU
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda leo amezindua Baraza la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) na kuliagiza...
DKT.KIJAJI AIPONGEZA TEMDO KWA UBUNIFU WA MITAMBO YENYE GHARAMA NAFUU
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) ameipongeza Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO ) kwa ubunifu wa...













