JMAT NA NEMC KUKUTANA NA VIONGOZI WA DINI KUELIMISHANA KIWANGO CHA SAUTI KATIKA NYUMBA...
Na Magrethy Katengu
Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la hifadhi ya Mazingira (NEMC )wameandaa kongamano la kitaifa...
RC CHALAMILA ATOA NENO KWA VIONGOZI WA DINI KUKEMEA MMOMONYOKO WA MAADILI
Na Magrethy Katengu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamala amewataka viongozi wa Dini kusaidia kukemea tatizo la Mmomonyoko wa maadali ikiwemo ubakaji,...
TBS WAADHIMISHA SIKU YA CHAKULA SALAMA DUNIANI KWA KISHINDO , WATOA WITO KWA WADAU
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt.Athuman Ngenya akizungumza na wadau mbalimbali (hawapo pichani) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama...
BARAZA JIPYA LA MADAKTARI TANGANYIKA LAZINDULIWA
Na WAF- Dodoma
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezindua Baraza jipya la Madaktari Tanganyika linalotarajia kudumu kwa muda wa miaka mitatu, huku moja ya...
WAZIRI NDALICHAKO ATETA NA MENEJIMENTI YA OFISI YAKE
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti...
TPA TANGA YAIBUKA KINARA WA TUZO MAONYESHO YA BIASHARA 2023
Na Boniface Gideon, TANGA
MAMLAKA ya Usimamizi wa bandari (TPA')Tanga imeibuka kuwa mshindi wa jumla katika maonyesho ya biashara na utalii yaliyofanyika katika viwanja vya...
SEMINA YA WAPIGA PICHA NA VIDEO YAJADILI NAMNA YA KUTANUA MASOKO YA KIBIASHARA
WABOBEZI Wa Tasnia ya Picha na video wajadiliana namna ya kutafuta Masoko ya Kibiashara pamoja na kuunda umoja ambao utasaidia kupatiwa fursa za mbalimbali...
TARURA MANISPAA YA MUSOMA YAOMBA FEDHA ZA DHARURA KUREKEBISHA BARABARA
Na Shomari Binda-Musoma
OFISI ya Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) manispaa ya Musoma kupitia Tarura mkoa wa Mara umeomba kiasi...
TAWA YAPOKEA WATALII ZAIDI YA 5000 WALIOTEMBELEA BUSTANI ZA WANYAMA PORI MAONYESHO YA 10...
Na Boniface Gideon, TANGA.
MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyama pori Tanzania 'TAWA' imepokea zaidi ya watalii 5000 kwenye Maonesho ya Biashara na Utalii Jijini Tanga...
KAMATI YA USIMAMIZI WA MPANGO WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA TANZANIA (MKUMBI) YAKUTANA
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Dkt. Jim Yonaz ameongoza Kikao cha Kamati ya Usimamizi wa Mpango wa Kuboresha Mazingira...













