Bodi ya Pamba kuendelea kutoa Elimu ya kuongeza uzalishaji
BODI ya Pamba nchini itaendelea kuweka jitihada za kumwezesha mkulima kupata kiasi kikubwa cha mavuno kwenye zao la pamba kuondokana na changamoto zinazowakumba wakulima...
TANZANIA NI SALAMA, KAGERA NI SALAMA HAKUNA TENA UGONJWA WA MARBURG
Na WAF- Bukoba Kagera.
Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu ameutarifu umma wa Watanzania na Ulimwengu kwa ujumla kuwa Tanzania imeweza kupambana na kudhibiti ugonjwa...
Tanzania Yavuka lengo la Mkakati wa Kitaifa wa Kuhifadhi Faru
Na Jacquiline Mrisho
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kuwa idadi ya faru weusi imeendelea kuongezeka kutoka 163 mwaka 2019 hadi 238...
WADAU WA MAONYESHO YA BIASHARA SABASABA 47 WAJIPANGA KIPEKEE; KARIBU USISUBIRIE KUSIMULIWA
Na Magrethy Katengu
Wadau wa Maonyesho ya biashara wamesema mwaka huu katika sabasaba itakiwa ya kipekee hivyo kutakuwa na fursa nyingi Tan trade wameandaa mabanda...
WASHINDI WA TATHMINI YA UBORA WA HUDUMA HOSPITAL YA RUFAA MARA WAPEWA ZAWADI
Na Shomari Binda-Musoma
IDARA ya ubora wa huduma hospitali ya rufaa mkoa wa Mara imetoa zawadi kwa washindi wa tathmini ya ubora wa huduma ambapo...
BRELA YAWAITA WAFANYABIASHARA KUSAJILI BIASHARA ZAO
Na Boniface Gideon, TANGA
WAKALA wa usajili wa biashara na leseni ‘BRELA’ imewataka wafanyabishara wote wakubwa, wakati na wadogo waliopo katika maeneo mbalimbali hapa nchini...
SERIKALI YAELEKEZA MILIONI 573 UJENZI WA WANYERE SEKONDARI
Na Shomari Binda-Musoma
SERIKALI kupitia bajeti ya mwaka 2023/2024 ya Ofisi ya Rais (TAMISEMI) itatoa kiasi cha shilingi milioni 573 kupitia mradi wake wa SEQUIP...
Shirika la Americares lamwaga vifaa vyenye thamani ya Tsh Milioni 234 Bugando
Na Sheila Katikula, Mwanza
Shirika la Americares limetoa vifaa tiba vya upasuaji wa ugonjwa wa fistula ya uzazi vyenye thamani ya sh Milioni 234.2 kwenye...
TENGENI BAJETI YA PROGRAMU JUMUISHI- DKT. GWAJIMA
Rai imetolewa kwa Wataalamu wa Mipango na Uratibu katika Sekretarieti za Mikoa kuhakikisha wanatenga bajeti za utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na...
ACT WAZALENDO YASHAURI SERIKALI KUSHUSHA GHARAMA YA NISHATI MBADALA
Na Magrethy Katengu
Chama cha ACT wazalendo kimeishauri serikali kuangalia namna bora ya kusaidia Wananchi wanaoshindwa kumudu gharama za kununua nishati mbadala ikiwemo gesi ili...













