SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU KUTOKOMEZA ULEMAVU WA KUTOKUONA
Na. Shaban Juma, Dodoma
Serikali imetoa wito kwa wadau wa maendeleo nchini kushirikiana kwa karibu katika kuboresha huduma za afya ya macho ili kuzuia ulemavu...
KINANA: WAPINZANI JENGENI HOJA, ACHENI KEJELI KWA RAIS’.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinanaa amewashauri na kuwakumbusha wanasiasa wa upinzani kuheshimu fursa ya maridhiano ya kisiasa iliyotolewa na Rais...
DIASPORA TUNZENI HESHIMA YA TANZANIA – MAJALIWA
*Awataka walitetee Taifa lao, watangaze fursa zilizopo nyumbani
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanadiaspora wa Tanzania wazingatie sheria za nchi wanazoishi ili waendelee kutunza heshima...
UTT AMIS yaita wananchi kuwekeza kisasa zaidi
*Yageuka kimbilio kwa wenye vipato tofauti, faida sasa Trilioni 1.5/-
Na Beatrice Sanga-MAELEZO
KAMPUNI ya Uwekezaji wa Mitaji ya Pamoja (UTT AMIS) imetoa rai kwa wananchi...
WAZIRI MKUU AHUDHURIA GWARIDE LA JESHI LA WANAMAJI LA URUSI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Urusi, Vladimir Putin wakati alipohudhuri gwaride la Jeshi la Wanamaji la nchi hiyo lililofanyika St. Petersburg...
KINANA AFURAHISHWA MIKAKATI YA KUWAINUA, KILIMO WAKULIMA.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya kilimo na mchango yake katika maendeleo ya nchi,...
WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WATAKIWA KUSOMA TAREEH ILI KUJUA HISTORIA YA DINI YAO.
TANGA - Waumini wa dini ya Kiislamu kote dunuani wameaswa kujenga mazoea ya kusoma na kuchambua matukio ya tareekh ili kuweza kujua historia ya...
RC KINDAMBA: NIMEFURAHISHWA NA UWEKEZAJI WA STEM PARK
Na Boniface Gideon, TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba ameonesha kufurahishwa na uwekezaji mkubwa wa Kituo Cha Sayansi mkoani Tanga Cha STEM PARK...
ASKOFU DAO: MABADILIKO YATUFANYE KUINUKA KIUCHUMI NA KUFANYA IBADA
Na Shomari Binda-Musoma
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC) maarufu Bonde la Baraka,Daniel Ouma,amesema ni muhimu kufanya mabadiliko ili kujiinua...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA URUSI
*Awahakikishia mazingira rafiki kwa mitaji yao
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na wawekezaji kutoka kampuni nne za Urusi zenye nia ya kuwekeza nchini katika nyanja...













