Saturday, May 2, 2026
Home 2023 August

Monthly Archives: August 2023

GPE YAIPATIA TANZANIA DOLA ZA MAREKANI MILION 207 .3 KUBORESHA SEKTA YA ELIMU

0
Na Magrethy Katengu TAASISI ya Ushirikiano wa Elimu Dunia (GPE) imeipatia Tanzania Dola za Marekani milioni 207.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu nchini...

JUKATA: MIAKA MITATU KUTOA ELIMU YA KATIBA NI UCHELEWESHAJI WA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

0
Na Magrethy Katengu Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) limeishauri Serikali kuanchana na Mpango wa kutoa Elimu ya Katiba ya mwaka 1977 kwa miaka mitatu kama...

KINANA: “TAMASHA LA KIZIMKAZI CHACHU KUIMARISHA MUUNGANO”

0
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndugu Abdulrahman Kinana, amesema Tamasha la Kizimkazi limefanikiwa kuwa chachu ya kuimarisha Muungano. Kinana amesema hayo Agosti 31,...

TIMU YA JKT QUEENS YA NG’ARA BAADA YA KUTWAA UBINGWA MASHINDANO YA CECAFA

0
Na Theophilida Felician Kagera. Timu ya Mpira wa miguu JKT QUEENS imetwaa kikombe cha ubingwa wa mashindano ya CECAFA mwaka wa 2023 yaliyokuwayakifanyika Nchini Uganda. Timu...

GST YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA KATIKA MAONESHO YA MADINI JIJINI MWANZA

0
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imefanikiwa kuwa Mshindi wa Kwanza na kupata Tuzo katika kipengele cha Taasisi zinazohusiana na Madini. Tuzo...

WILAYA YA SERENGETI YAJIPANGA KUWA NA MASHAMBA DARASA KILA KATA

0
Na Shomari Binda-Musoma HALMASHAURI ya Wilaya ya Serengeti imejipanga kuwa na mashamba darasa kila Kata ili wananchi waweze kujifunza nakufanya kilimo cha tija. Kauli hiyo ilitolewa...

SERIKALI YAMJIBU MATHAYO UCHAFUZI ZIWA VICTORIA

0
Na Shomari Binda SERIKALI imesema itaendelea kuhakikisha maziwa yote likiwemo ziwa Victoria yanakuwa katika usafi ili kutunza mazingira. Kauli hiyo imetolewa bungeni hii leo na Waziri...

MUSOMA VIJIJINI KUMUENZI PROF.MASAMBA KWA UJENZI WA “DAVID MASSAMBA MEMORIAL SECONDARY SCHOOL”

0
WANANCHI wa Kijiji cha Kurwaki jimbo la Musoma vijijini wamekubaliana kufanya ujenzi wa shule mpya ya sekondari kumbuka gwiji wa kiswahili, Profesa Davidi Masamba. Wakizungumza...

SUNGUSUNGU WAONYWA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI

0
Viongozi wa vikundi vya ulinzi shirikishi zaidi ya 500 wa kanda ya ziwa, wamepewa elimu ya ulinzi shirikishi juu ya namna ya kufanya kazi...

DKT. NCHEMBA: SERIKALI INAENDELEA KULINDA THAMANI YA SHILINGI YA TANZANIA

0
Serikali imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua mbalimbali kulinda thamani ya shilingi ya Tanzania ikiwemo kuendelea kuboresha mazingira ya biashara na kuvutia uwekezaji kutoka nje. Hayo...