Friday, June 26, 2026
Home 2023 August 28

Daily Archives: August 28, 2023

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAJUMBE KUTOKA UINGEREZA.

0
Na. Josephine Majura, WF, Dar es Salaam Serikali imewaalika wadau wa Sekta Binafsi kutoka Uingereza kuwekeza nchini ili kusaidia juhudi za Serikali kufikia malengo yake. Hayo...

KITAJI FC WAIPA KICHAPO CHA 4-0 IRINGO FC MASHINDANO YA MATHAYO CUP

0
Na Shomari Binda-Musoma TIMU ya Kitaji fc imeanza vyena mashindano ya Mathayo Cup baada ya kuipa kichapo cha bao 4-0 timu ya Iringo fc. Hadi kipindi...

UVCCM yapongeza serikali kuimarisha sekta ya Uwekezaji

0
Na Neema Kandoro , Mwanza UMOJA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Nyamagana umepongeza kwa kauli moja juhudi zinazofanywa na serikali kwenye...

SERIKALI YAWAKA WAHANDISI WASHAURI KUWAADHIBU WAKANDARASI WAZEMBE

0
Na Hamida Kamchala -PANGANI SERIKALI imeshauri kwa Wahandisi Washauri kusimamia na kufuatilia kwa ukaribu Wakandarasi wanaotekeleza miradi mikubwa ili wanapofanya kinyume na mikataba iweze kuwabana...

MAJADILIANO YA UPATIKANAJI KATIBA MPYA BADO KUFIKIA MUAFAKA

0
Na Magrethy Katengu Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Damasi Ndumbalo amefungua Kikao cha Mawaziri wa Sheria na wanasheria Wakuu wa serikali Wastaafu na waliopo...

WANANCHI WAPEWA RAI KUSHIRIKI WIKI YA KITAIFA YA UFUATILIAJI NA TATHMINI

0
Na; Mwandishi Wetu - Dodoma Wananchi wamepewa wito wa kushiriki katika wiki ya Kitaifa ya Ufuatiliaji na Tathmini itakayofanyika Jijini Arusha ambayo itahusisha kutoa elimu...

HAMISA MOBETTO NA MILLARD AYO WALIVYOGAWA MAMILIONI KWA WASHINDI WA CHA WOTE

0
Ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya chawote ya Tigo  imekabidhi washindi sita hundi ya milioni moja moja  ofisini kwao Jijini Dar es salaam " Leo...