AKINA MAMA WAHIMIZWA KUWANYONYESHA MAZIWA YA MAMA PEKEE WATOTO KWA MIEZI 6 TANGU KUZALIWA
Na Theophilida Felician, Kagera
Wazazi hususani akina mama Mkoani Kagera wemekumbushwa na kuhimizwa kuwanyonyesha maziwa ya mama pekee watoto wao kwa kipindi cha miezi (6)...
MBUNGE MATHAYO AACHA MILIONI 3,400,000 KATA YA MSHIKAMANO AKIFATILIA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo ametoa kiasi cha shilingi milioni 3 na laki 4 kusaidia ujenzi wa ofisi ya...
HALMASHAURI TANGA JIJI KUWALIPA WAZABUNI SIKU SABA(7)
Na Boniface Gideon, Tanga
UONGOZI wa Halmashauri ya Jiji la Tanga umeziagiza idara zake kwamba ihakikishe utaratibu mzuri wa kuwalipa wakandarasi wanaoingia mikataba ya kazi...
WASANII WAPIGWA MSASA MATUMIZI MKOPO WA MABILIONI YA SAMIA
Na Boniface Gideon, Tanga
Mfuko wa Utamaduni na Sanaa nchini leo umetoa mafunzo kwa wasanii mbalimbali wa mkoa wa Tanga na nje ya mkoa huo,...
NHC YAZIDI KUIMARIKA, UJENZI WA MIRADI MBALIMBALI WAENDELEA
*Mapato yafikia Bilioni 257 kutoka billion 144 mwaka 2021/2022
*Sera ya Ubia Kupaisha Sekta ya Makazi
Na Beatrice Sanga-MAELEZO
Shirika la Nyumba nchini (NHC) limeeleza kuwa litaendelea...
RC MTANDA AFANYA MIKUTANO CHINI YA MITI KUSURUHISHA MGOGORO WA ARDHI
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara,Saidi Mtanda, amefanya mikutano na wananchi wa vijiji vya Romng'oroli wilayani Serengeti na Mikomarilo wilayani Bunda ili kumaliza...
RC MTANDA AFANYA MIKUTANO CHINI YA MITI KUSURUHISHA MGOGORO WA ARDHI
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara,Saidi Mtanda, amefanya mikutano na wananchi wa vijiji vya Romng'oroli wilayani Serengeti na Mikomarilo wilayani Bunda ili kumaliza...









