KINANA: UHURU WA KUSEMA UPO ILA KILA UHURU UNA MIPAKA YAKE.
Akumbusha darasa la Hayati Mwalimu Nyerere kuhusu uhuru bila ya nidhamu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesema ingawa inchi ina uhuru...
STAMICO YAIELEZA KAMATI YA BUNGE LESENI INAZOMILIKI
Yaelekeza Mkakati wake wa kuendeleza Mgodi wa Makaa ya Mawe
Vituo vya Mfano Vyatajwa kuongeza tija, wataka viongezwe uwezo
Dodoma
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza...
MGANGA MKUU KAGERA APONGEZA JUHUDI ZA UTEKELEZAJI WA MPANGO JUMUISHI KWA WATOTO
Na Theophilida Felician, Kagera
Mganga Mkuu wa Mkoa Kagera Issessanda Kaniki amewapongeza na kuwashukurua wadau mbalimbali kwanamna wanavyoendelea kutekeleza mpango jumuishi wa malezi, makuzi na...
MGAO WA MAJI WILAYA YA SERENGETI KUMALIZIKA HIVI KARIBUNI
Na Shomari Binda-Musoma
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (Muwasa) imesema mgao wa maji katikaa mji wa Mugumu wilayani Serengeti utamalizika hivi...
HUDUMA ZA TGC KIVUTIO MAONESHO YA MADINI NA UWEKEZAJI MKOANI LINDI
Ruangwa - Lindi
Wadau mbalimbali wanaoshiriki Maonesho ya Madini na Uwekezaji mkoani Lindi wamevutiwa na bidhaa zilizozalishwa na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) katika banda...
WAZIRI UMMY; WANANCHI JENGENI UTAMADUNI WA KUPIMA AFYA
Na Paskal Mbunga, Tanga.
WATANZANIA wametakiwa kujijengea tabia ya kupima afya mara kwa mara badala ya kungoja mpaka waugue kwani, itawasababishia gharama kubwa za kujitibia.
Akizungumza...



