WATOTO NJITI ZAIDI YA LAKI 2 NCHINI HUZALIWA KWA MWAKA
Na. WAF - Dar es SalaamWaziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa takriban watoto laki Mbili mpaka laki Tatu kwa Mwaka huzaliwa kabla...
MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA MAADILI
Na Shomari Binda-Musoma
MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali mkoani Mara yametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na utu wa mtanzania.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa...
Kampuni ya Tigo yazindua Duka la Huduma kwa Wateja Kisesa Mkoani Mwanza
Diwani wa Kata ya Kisesa amezindua Tawi Tigo huduma Kwa wateja Kisesa Mkoani Mwanza Ili kusogeza huduma karibu na Wananchi Maiko Kabadi Ambae ni...
ACT-WAZALENDO TANGA WACHANGIA DAMU HOSPITALI YA BOMBO
Na Boniface Gideon-Tanga
Chama cha ACT-WAZALENDO jimbo la Tanga pamoja na wakazi wa jiji la Tanga , leo agosti 11 wamejitokeza kwa wingi kuchangia Damu...
DAWASA KUTUMIA BILLION 424 KUTEKELEZA MIRADI 7 YA HUDUMA YA MAJISAFI
MAMLAKA ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es-Salaam (DAWASA) imejipanga kuendelea kuboresha upatikanaji wa huduma ya majisafi kupitia utekelezaji wa miradi ya...
NMB YATOA ELIMU YA FEDHA KWA WALIMU MSINGI/SEKONDARI
Na Boniface Gideon, TANGA.
BENKI ya NMB imeendelea kuboresha huduma zake kwa wadau wakiwemo walimu wa shule za msingi na sekondari ambapo imekuja na huduma...
HOSPITALI ZOTE NCHINI KUWA NA WODI MAALUM ZA UANGALIZI WA WATOTO NJITI
Na. WAF - Dar es SalaamSerikali kupitia Wizara ya Afya inafanya juhudi za kuhakikisha Hospitali zote Nchini zinakua na wodi maalum za uangalizi wa...
IGP CAMILIUS WAMBURA ATOA ONYO KALI KWA WANAOTISHIA KUIANGUSHA SERIKALI YA AWAMU YA SITA...
Na Magrethy Katengu
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camilius Wambura ametoa onyo kali kwa kundi la watu waliosambaza taarifa kuwa wanaandaa maandamano nchi nzima...
WAANDISHI CHIPKIZI KUNOLEWA NA KAMPUNI YA PODIUM
Na Magrethy Katengu
Katika kukuza sekta ya habari hapa nchini Kampuni ya Podium inayojihusisha na masuala ya Habari, Mawasiliano na Utafiti imeandaa mijadala ya kila...
DKT. KIJAJI AWATAKA WAKULIMA KUONGEZA UZALISHAJI WA MIWA
Wakulima wa miwa wametakiwa kuendelea kulima miwa kwa wingi kwani soko la miwa limekuwa kubwa kutokana na ongezeko la viwanda vya sukari nchini.
hayo yamesemwa...













