ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 55 ZATENGWA KUBORESHA HUDUMA NA UENDESHAJI MOI
Na. Majid Abdulkarim,Dodoma
SERIKALI imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 55.9 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa ajili ya kuboresha huduma...
UJENZI WA HOSPITALI YA MBAGALA RANGI TATU, GHOROFA SITA ITAGHARIMU SH: BIL 10.8
Na. WAF - Dar es Salaam
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo ametembelea Hospitali ya Mbagala Rangi Tatu na kukagua mradi wa ujenzi wa...
Kupatikana kwa Pamba safi kutainua Sekta ya kilimo cha Pamba
Na. Neema Kandoro Mwanza
WAKULIMA wa zao la pamba nchini wamesisitizwa juu ya umuhimu wa kuzingatia usafi kwenye mnyororo mzima wa kilimo hicho kuwezesha kupatikana...
MBUNGE GHATI AZINDUA UJENZI NYUMBA YA KATIBU WA UWT WILAYA YA MUSOMA MJINI
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mara,Ghati Chomete, amezindua ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT wilaya ya Musoma mjini.
Akiwa eneo la...
WATUMISHI MUWASA WAPEWA MAFUNZO KUWAJENGEA UWEZO
Na Shomari Binda-Muwasa
WATUMISHI wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi 8 wa Mazingira Musoma (MUWASA) wamepewa mafunzo ya kujengewa uwezo ikiwa ni pamoja na...
TARIME VETERAN MABINGWA BONANZA LA MAKARIBISHO YA RC MTANDA
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU ya Tarime veteran wameibuka mabingwa wa bonanza maalum la nane nane kumkaribisha mkuu wa Mkoa wa Mara Said Mtanda.
Kwa kutwaa ubingwa...
MKUTANO WA CHAKULA KUFANYIKA KWA MARA YA KWANZA TANZANIA KUWA MWENYEJI
Na Magrethy Katengu
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa kimataifa wa chakula unaotarajiwa kufanyika Jijini Dar es salaam kuanzia Agisti 10-12 Mwaka huu katika...
MTANDAO MAJI YA BOMBA KUTOKA ZIWA VICTORIA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
JIMBO la Musoma Vijijini lenye Kata 21, Vijiji 68 na Vitongoji 374. Vijiji vyote vina miradi ya maji ambayo iko kwenye hatua...
MTANDAO MAJI YA BOMBA KUTOKA ZIWA VICTORIA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
JIMBO la Musoma Vijijini lenye Kata 21, Vijiji 68 na Vitongoji 374. Vijiji vyote vina miradi ya maji ambayo iko kwenye hatua...











