DOKTA NCHEMBA ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA HUAWEI BEIJING
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwiguu Lameck Nchemba, ametoa wito kwa Kampuni ya Mawasiliano ya Huawei ya China, kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kisasa...
TUUZE KOROSHO ZILIZOBANGULIWA – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakulima zao la korosho wafanye kilimo cha kibiashara kwa kuacha kuuza korosho ghafi na badala yake wauze zilizobanguliwa ili...
WAZIRI UMMY ATANGAZA NEEMA MATIBABU BURE KUPITIA KAMBI.
Na Boniface Gideon, TANGA
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga, leo Agosti 14 ametangaza neema ya matibabu kwa...
SHIRIKA LA POSTA LAZIDI KUIMARIKA, MAPATO YAFIKIA BILIONI 33.7 MWAKA 2022/2023
Na. Beatrice Sanga-MAELEZO
Shirika la Posta limeendelea kutengeneza faida kutokana na shughuli mbalimbalui ambazo linazifanya pamoja na uwekezaji mzuri unaoendelea kufanywa na serikali ikiwemo kusafirsha...



