Friday, June 26, 2026
Home 2023 August 30

Daily Archives: August 30, 2023

WAWILI WASHIRIKILIWA NA POLISI KWA KULAGHAI

0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashilia watu wawili akiwemo Emanuel Paul Karata (35) mchungaji wa kanisa laPENTEKOSTE GOSPEL MISSION lililopo kibaha kwa ulaghai...

DKT.MPANGO AMEWASHUKURU WATANZANIA WALIOUNGANA NA FAMILIA KATIKA MAOMBOLEZO

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewashukuru watanzania na waombolezaji wote walioungana na familia katika maombolezo na...

SERIKALI ITAENDELEA KUONGEZA BAJETI YA KILIMO: MWELI

0
Na: Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM. Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Mweli, amesema kuwa Serikali itaendelea kujikita zaidi katika kuongeza bajeti ya kilimo, pamoja...

MABINGWA WATETEZI NYASHO FC WAICHAPA KIGERA FC 6-0 MATHAYO CUP

0
Na Shomari Binda-Musoma MABINGWA watetezi wa mashindano ya Mathayo Cup msimu uliopita, Nyasho fc wameanza vyema kutetea ubingwa wao baada ya kuifunga timu ya Kigera...

SERIKALI KUENDELEA KULINDA THAMANI YA SHILINGI

0
Na. Farida Ramadhani, WF, Dodoma. Serikali imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua mbalimbali kulinda thamani ya shilingi ya Tanzania ikiwemo kuendelea kuboresha mazingira ya biashara na kuvutia uwekezaji kutoka nje. Hayo yameelezwa...

MBIBO AWAOMBA MABALOZI KUISAIDIA WIZARA KUTIMIZA NDOTO ZA WAASISI SEKTA YA MADINI

0
Kamishna wa Madini awaeleza kuweka Msukumo kwenye Madini Mkakati Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amewaomba Mabalozi Wapya walioteuliwa hivi karibuni kuiwezesha Sekta...

WANAOWEKA PICHA ZA KUDHALILISHA MITANDAONI WAONYWA.

0
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa wote wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka picha...

MABALOZI WA TANZANIA NJE YA NCHI KUIBEBA SEKTA YA MADINI

0
Leo Agosti 30, 2023 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amewapokea Waheshimiwa Mabalozi Wapya walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania nchini Canada, Namibia,...

MRADI WA UJENZI WA OFISI YA TMA, KANDA YA MASHARIKI NA KITUO CHA KUTOA...

0
Dar es Salaam;Tarehe 28 Agosti, 2022; Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Buruhani Nyenzi amekagua maendeleo ya mradi wa...

HIFADHI YA TAIFA KITULO KUTANGAZWA KITAIFA NA KIMATAIFA ILI KUVUTIA WATALII NA WAWEKEZAJI

0
Serikali imeendelea kujizatiti kwa kuitangaza Hifadhi ya Taifa ya Kitulo ndani na nje ya nchi lengo likiwa ni kuwavutia watalii na wawekezaji kutoka sehemu...