MUHIMBILI MBIONI KUANZA KUTOA HUDUMA ZA UPANDIKIZAJI MIMBA
Na WAF, Dodoma.
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili iko mbioni kuanza kutoa huduma za upandikizaji mimba kwa mashine maalum (IVF - In vitro Fertilization)
Hayo yamesemwa...
Kigahe Azitaka Taasisi za Umma kutoa huduma kwa wafanyabiashara kwa weledi na uadilifu
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ameziagiza Taasisi za Umma kuendelea kutoa huduma kwa wafanyabiashara kwa weledi na uadilifu ili kutimiza...
Jeshi la Polisi litaendelea kushirikisha Jamii kutokomeza uhalifu Nchini.
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi-Tanga
Jeshi la Polisi limesema litaendelea kushirikisha Jamii katika kupambana na uhalifu katika maeneo mabalimbali hapa Nchini huku likipongeza...
MGORE AWAHUSIA MAADILI MAZURI VIJANA WA CCM MUSOMA MJINI
Na Shomari Binda-Musoma
MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji Taifa ya Jumuiya ya Wazazi Mgore Miraji amewahusia vijana was Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Musoma...
PROF. MUHONGO: YAMETIMIA HOSPITALI YA MUSOMA VIJIJINI YAANZA KUTOA HUDUMA
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini, Profesa Sospeter Muhongo amesema hatimaye imetimia hodpitali yenye hadhi ya wilaya kuanza kutoa huduma za afya...