Friday, June 26, 2026
Home 2023 August 27

Daily Archives: August 27, 2023

MEYA GUMBO AFUNGUA MASHINDANO YA MATHAYO CUP 2023 KWA KUWAPA UJUMBE WACHEZAJI

0
Na Shomari Binda-Musoma MASHINDANO ya kombe la Mathayo Cup 2023 yamezinduliwa rasmi na Meya wa manispaa ya Musoma, Patrick Gumbo huku vijana wakitakiwa kuyatumia kuinua...

Polisi Mguu sawa maonesho ya Afrika Mashariki

0
Maonesho ya 18 ya Afrika Mashariki yameanza kufanyika Jijini Mwanza kuanzia Agosti 25, 2023, na kufikia tamati Septemba 3, mwaka huu kwa wafanyabiashara kuchangamkia...

DKT. NCHEMBA ATETA NA VIONGOZI WA MIKOA TANZANIA BARA

0
Na Benny Mwaipaja, Kibaha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewataka Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kusimamia ipasavyo shughuli za...

WATUMISHI WIZARA YA FEDHA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

0
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma Watumishi wa Wizara ya Fedha wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano na kuzingatia sheria, kanuni, taratibu pamoja na miongozo katika utekelezaji...

DKT. TAX AWAPA WAKUU WA MIKOA MBINU ZA KUTEKELEZA DIPLOMASIA YA UCHUMI

0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewapa Wakuu wa Mikoa mbinu mbalimbali za kutekeleza Diplomasia...

TARURA YAPONGEZWA UKAMILISHAJI MIRADI KWA WAKATI

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) imeupongeza uongozi wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA...

WAZIRI MKUU MAJALIWA AAGIZA KUZALISHA CHUMVI YENYE UBORA

0
Ahitimisha Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji Mkoani Lindi #Aelekeza Halmashauri nchini kuandaa Mpango wa Uchimbaji madini endelevu Ruangwa - Lindi Waziri Mkuu wa...