Friday, June 26, 2026
Home 2023 August 24

Daily Archives: August 24, 2023

KINANA AKUTANA NA KIONGOZI WA NATIONAL DEMOCRATIC INSTITUTE YA MAREKANI

0
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdulrahman Kinana, leo Agosti 24, 2023, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa taasisi ya Marekani...

TARURA KUONDOA VIKWANZO MTANDAO WA BARABARA ZA WILAYA

0
Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema maeneo ya kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2023/24 ni Kuondoa vikwazo kwenye mtandao wa barabara...

SHIRIKA LAKABIDHI BOTI KWA AJILI YA ULINZI RASILIMALI BAHARI.

0
Na Boniface Gideon, Mkinga Wakazi wa Vijiji 5 kati ya 9 vilivyopo kata ya Boma wilayani Mkinga mkoani Tanga vimenufaika na Mradi wa utunzaji wa...

SERIKALI YAONYA WANAOTUMIA MAKAO YA WATOTO KUJINUFAISHA

0
Na Raymond Mushumbusi WMJJWM Dodoma Serikali imewaonya wamiliki wa Makao ya kulea watoto nchini waliogeuza Makao hayo kujinufaisha kwa misaada mbalimbali inayotolewa hasa ya fedha. Onyo...

IEP YATOA MATOKEO WATAHINIWA WALIOFANYA MTIHANI WA DINI YA KIISLAM DARASA LA 7

0
Na Magrethy Katengu Islamic Education Panel (IEP), imetoa matokeo ya watahiniwa waliofanya mtihani wa masomo ya dini ya Kiislamu na lugha ya Kiarabu kwa wanafunzi...

Kigahe azitaka Taasisi za Wizara yake Kupanga Mipango inayotekelezeka

0
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ameiagiza Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake kuhakikisha Mipango yote inayopangwa kila mwaka inaendana...

STAMICO YAWA MKOMBOZI KWA WAZALISHAJI WA CHUMVI NCHINI

0
#Shamba darasa kuwafundisha wazalishaji wa chumvi Lindi na Mtwara Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeanza kushughulikia changamoto za wazalishaji wa chumvi nchini kwa...