WAZIRI MKUU: MAFUTA YA KANDA YA KASKAZINI, ZIWA YACHUKULIWE TANGA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Nishati iratibu ununuzi wa mafuta kutoka mikoa ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa ili yachukuliwe kutokea Tanga...
SHULE ZA SEKONDARI 19 KUJENGA MAABARA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
SHULE 19 za sekondari za Kata katika jimbo la Musoma vijijini zinaendelea na ujenzi wa maabara kwaajili ya ugundishaji wa masomo ya...
WANAFUNZI BARA, VISIWANI WASHIRIKI KONGAMANO LA SAYANSI TANGA STEM PARK
Na Boniface Gideon, TANGA
ZAIDI ya wanafunzi 60 wa shule Sekondari kutoka katika Mikoa mbalimbali ya Tanzania wameshiriki kikamilifu Kongamano la saba la sayansi na...
ONE MAP AFRICA WAOMBA USHIRIKIANO KWA SERIKALI , KUWEZESHA FURSA ZA AJIRA NA UWEKEZAJI...
https://www.youtube.com/embed/MLBvjb9M17A
Mwanzilishi wa Kampuni ya ONE MAP AFRICA Bwn. Joseph John Ng'wandu ( katikati ) katika picha ya pamoja na Mchekeshaji Maarufu Nchini JK COMEDIAN...







