WAZIRI MKUU AMTAKA DMO MTWARA ASIMAMIE UJENZI KITUO CHA AFYA MKUNWA
*Akerwa kukuta vifaa vimejaa ndani, hakuna uangalizi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Dkt. Matayo Malaika ahakikishe anasimamia ujenzi wa...
VIONGOZI, WANACHAMA CCM WAMLlLIA DIWANI WA KATA YA MSHIKAMANO CHARLES MWITA
Na Shomari Binda-Musoma
VIONGOZI na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha diwani wa Kata ya Mshikamano manispaa ya Musoma,...
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE ARIDHISHWA NA MRADI WA MAJI ULIOTEKELEZWA NA MUWASA
NA Shomari Binda-Musoma
KIONGOZI wa mbio za mwenge,Abdara Shaibu ameridhishwa na mradi wa maji uliotekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma...
BALOZI WA ALGERIA ATEMBELEA BANDA LA BRELA
Balozi wa Algeria nchini Tanzania Mhe. Ahmed Djellal ametembelea Banda la Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), leo tarehe 8 Julai, 2023...
SERIKALI YA ZANZIBARI KUINUA WANANCHI WAKE KUPITIA UCHUMI WA BLUU
.Na Magrethy Katengu
Serikali ya Zanzibari iliyo chini ya Rais Ally Hassan Mwinyi imekuwa ikiongeza jitihada za kusaidia uchumi wa bluu wa Bahari usaidie wananchi...








