BILIONI 3 ZA RAIS SAMIA KUTUMIWA NA TARURA KUFUNGUA BARABARA NA UJENZI WA MADARAJA...
Na Shomari Binda-Musoma
ZAIDI ya shilingi bilioni 3 zinatarajiwa kujenga barabara kilometa 96, madaraja 8 na kalavati 30 ndani ya jimbo la Musoma mjini.
Fedha hizo...
BINGWA MSIMU WA PILI TV3 BILA CHENGA
SHINDANO la Bingwa Msimu wa pili latambulishwa Watu maarufu mitandao ya kijamii wajitosa , Washiriki 20 kuingia kambini Julai 30,2023 Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza...
BENKI YA TCB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI SHULE MSINGI MASIWANI TANGA
NA BONIFACE GIDEON, TANGA
BENKI ya Taifa ya Biashara (Tanzania Commercial Bank) leo imekabidhi Vifaa vya vya Ujenzi katika Shule ya Msingi Masiwani iliyopo kata...
FURSA YA UWEZESHAJI KIUCHUMI KWA WATU WENYE ULEMAVU-SIGHTSAVERS
Sightsavers Tanzania Inatekeleza mradi wa uwezeshaji kiuchumi kwa watu wenye Ulemavu, Lengo ni kujenga fursa sawa katika upatikanaji wa ajira na kujiajiri kwa watu...
WAZIRI UMMY AFURAHISHWA NA MIRADI YA TANGA YETU
Na Boniface Gideon, TANGA
MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu amesema kuwa kupitia fursa ya uchumi wa bluu wananchi wa Jiji la Tanga...








