TUMIENI MAONESHO YA SABASABA KUFUNGUA FURSA KIMATAIFA – MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wafanyabishara nchini kutumia maonesho ya kibiashara ya kimataifa ya sabasaba sambamba na fursa za makampuni ya kigeni...
DIWANI MWANDARA AZUNGUMZIA MIAKA 2 YA MAFANIKIO KATA YA BWERI
Na Shomari Binda-Musoma
DIWANI wa Kata ya Bweri, Dickson Mwandara, amesema yapo mafanikio makubwa ya miradi ya maendeleo iliyofanyika Kata ya Bweri kwenye kipindi cha...
GGML KUTUMIA SHILINGI BILIONI 6 UJENZI UWANJA WA MPIRA GEITA
-Kukamilika kwake kuhamasisha shughuli za Michezo
-Timu mbalimbali zikiwemo Simba, Yanga, Azam FC, na nyingine kuutumia uwanja huo
Imeezwa kuwa, Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa...
TIGO YAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTEKELEZA MKAKATI WA USAJILI WA WATOTO CHINI YA UMRI...
Na Adery Masta
Tangu kuzinduliwa kwa mpango wa usajili wa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano ukiwa ni mkakati muhimu ulioanzishwa na Serikali...
Infinix NOTE 30 YASHUSHWA BEI MSIMU HUU WA SABASABA ( + VIDEO )
https://www.youtube.com/embed/o1K_kwpIp9Q
INAKUJA NA OFA: "Simu hii aina ya Infinix NOTE 30 inakuja na Ofa ya GB 96 bureee kutoka TIGO za kutumia mwaka mzima, ikiwa...








