Friday, June 26, 2026
Home 2023 July 11

Daily Archives: July 11, 2023

TANZANIA KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU 2030 UMOJA WA MATAIFA

0
Na Benny Mwaipaja, New YorkTanzania inatarajia kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Hiari ya Nchi ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030, katika Jukwaa...

TBS YATOA ELIMU KUHUSU MASUALA YA UDHIBITI UBORA KWA WADAU SABASABA

0
Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa huduma kwa wajasiriamali ,wafanyabiashara na wadau mbalimbali wa Viwango katika Maonesho ya 47 ya Biashara...

JESHI LA POLISI MAONYEHO YA SABASABA WATOA ELIMU KWA WANANCHI KUPITIA VITENGO MBALIMBALI NAMNA...

0
Na Magrethy Katengu JESHI la polisi Tanzania katika maonyesho ya biashara sabasaba watoa Elimu ya Masuala mbalimbali kwa wananchi kupitia vitengo vyao ikiwemo Dawati la...

ZAIDI YA MADEREVA 1000 WAMESAJILIWA NA KUPEWA VYETI NA LATRA

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya Usafiri Ardhini LATRA imewataka Madereva wote kwenda Banda la Mainyesho kusajiliwa katika mfumo kabla ya Julai 30 mwaka huu kisha...

TIC KUDUMISHA MAHUSIANO YA UWEKEZAJI NA INDIA

0
Na Beatrice Sanga - MAELEZO Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesaini Mkataba wa Makubaliano (Momerundum of Understanding (MoU)) na nchi ya India kupitia Idara ya...

MADINI WAANISHA FURSA KWA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA

0
Sekta ya Madini imekuwa miongoni mwa Sekta zilizopata nafasi ya kunadi fursa zake za uwekezaji kwa ujumbe wa Wawekezaji kutoka Jimbo la Haryana nchini...

SERIKALI KUENDELEA KUFANYIA MABORESHO SEKTA YA MICHEZO ILI KUSAIDIA LUGHA YA KISWAHILI KUJULIKANA KIMATAIFA

0
Na Magrethy Katengu Waziri wa Tamaduni Sanaa na Michezo Balozi Pindi Chana amesema Serikali inaendelea na jitihaza za kuhakikisha maboresho yanafanyika hasa sekta ya michezo...

MCHANGO WA MBUNGE MUHONGO WATAMBULIWA UJENZI WA SEKONDARI MPYA YA BWAI

0
Na Shomari Binda-Musoma MCHANGO wa mbunge wa jimbo la Musoma vijijini,Prof.Sospeter Muhongo, katika sekta ya elimu umetambuliwa na kupongezwa kwa juhudi zake. Katika taarifa kwa kiongozi...