WAZIRI MKUU AHUDHURIA GWARIDE LA JESHI LA WANAMAJI LA URUSI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Urusi, Vladimir Putin wakati alipohudhuri gwaride la Jeshi la Wanamaji la nchi hiyo lililofanyika St. Petersburg...
KINANA AFURAHISHWA MIKAKATI YA KUWAINUA, KILIMO WAKULIMA.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya kilimo na mchango yake katika maendeleo ya nchi,...
WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WATAKIWA KUSOMA TAREEH ILI KUJUA HISTORIA YA DINI YAO.
TANGA - Waumini wa dini ya Kiislamu kote dunuani wameaswa kujenga mazoea ya kusoma na kuchambua matukio ya tareekh ili kuweza kujua historia ya...
RC KINDAMBA: NIMEFURAHISHWA NA UWEKEZAJI WA STEM PARK
Na Boniface Gideon, TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba ameonesha kufurahishwa na uwekezaji mkubwa wa Kituo Cha Sayansi mkoani Tanga Cha STEM PARK...
ASKOFU DAO: MABADILIKO YATUFANYE KUINUKA KIUCHUMI NA KUFANYA IBADA
Na Shomari Binda-Musoma
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC) maarufu Bonde la Baraka,Daniel Ouma,amesema ni muhimu kufanya mabadiliko ili kujiinua...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA URUSI
*Awahakikishia mazingira rafiki kwa mitaji yao
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na wawekezaji kutoka kampuni nne za Urusi zenye nia ya kuwekeza nchini katika nyanja...









