Friday, June 26, 2026
Home 2023 July 12

Daily Archives: July 12, 2023

MBIO MAARUFU ZA TIGO ZANTEL ZANZIBAR INTERNATIONAL MARATHON ZAZINDULIWA , KUFANYIKA OKTOBA 2023 (...

0
https://www.youtube.com/embed/aH13w7p8-cE Na Mwandishi Wetu ZANZIBAR, 11 Julai 2023 — Mbia Maarufu za TigoZantel Zanzibar International Marathon (ZIM) zimezinduliwa kwa msimu wa tatu , ambazo zitazofanyika mwezi Oktoba...

PBZ JIWEKEZENI MIFUMO IMARA KUMRAHISISHIA HUDUMA KWA WATEJA

0
Na Magrethy Katengu Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Ally Suleiman Ameir ameitaka benki ya Zanzibar PZB kujiwekeza kwenye Mifumo mizuri Imara ya Ulinzi yenye...

RPC TANGA AZINDUA ULINZI CUP

0
Na Boniface Gideon, TANGA UTEPE wa michauano Kombe la ulinzi Cup umekatwa rasmi jana kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la Magomeni ambapo timu ya...

MWILI WA DIWANI CHARLES MWITA KUPUMZISHWA IJUMAA

0
Na Shomari Binda-Musoma MWILI wa aliyekuwa diwani wa Kata ya Mshikamano iliyopo manispaa ya Musoma,unatarajiwa kupumzishwa kwenye makazi yake ya milele ijumaa julai 14 Mwenyekiti wa...

TASAC YAFANYA SENSA YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI NA SADC YA VYOMBO VIDOGO VYA MAJINI

0
Dar es salaam, Na Emmanuel Kawau. Shirika la Uwakala wa Meli Nchini (TASAC) lazindua ripoti ya sensa ya vyombo vidogo vya usafiri majini ambayo ni ya...

SERIKALI YAFURAHISHWA MAENDELEO KITUO CHA SAYANSI TANGA ‘PROJECT INSPIRE’

0
Na Boniface Gideon, TANGA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolph Mkenda ameonesha kufurahishwa na Maendeleo makubwa ya kuinua Sayansi mkoani Tanga baada ya...

MADAKTARI BINGWA KUTOKA UJERUMANI KUWASILI TANGA JULAI 13, KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA

0
Na Boniface Gideon- TANGA MADAKTARI Bingwa kutoka Nchini Ujerumani wanatarajiwa kuwasili Mkoani Tanga Julai 13 mwaka huu ambao wanakuja kwa ajili ya kutoa huduma za...

WANANCHI ENDELEENI KUTOA USHIRIKIANO KWA JESHI LA POLISI ILI WAHARIFU WADHIBITIWE

0
Na Magrethy Katengu Kamisha wa Jeshi la Polisi Suzan Kaganda amewashauri Wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi ili kusaidia hali ya ulinzi na...

JK NA MKEWE WATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE

0
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma Kikwete wamezuru jamii ya Wahadzabe wanaoishi katika Kijiji cha Endamagha kilichopo Kata...