MAENDELEO YANAYOONEKANA NCHINI NI MAELEKEZO YA ILANI, RAIS SAMIA-KINANA
Na Mwandishi Wetu, Babati
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, amewaomba wana CCM nchi nzima kutambua kuwa kila mema yanayoonekana...
DR.CHAYA: MSIKUBALI UPOTOSHAJI WA WAZUSHI, BANDARI HAIUZWI
Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe. Dkt. Pius Chaya amewataka wananchi wake kupuuza upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusu suala la Bandari na kuzuka kauli za kwamba...
MAKAMU MWENYEKITI CCM TAIFA,ABDULRAHAMAN KINANA KUWASILI MARA KESHO
Na Shomari Binda-Musoma
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana, anatarajiwa kuwasili mkoani Mara kesho kufanya ziara ya siku moja.
Akizungumza ofisini kwake, Katibu...
RC MTANDA ATAKA UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI KUINUA AFUA ZA LISHE
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara,Said Mtanda, amewataka viongozi katika ngazi za wilaya na mkoa kuwajibika kwenye majukumu yao katika kuinua afua za...
TCB BENKI KUJENGA MATUNDU YA VYOO 18 SHULE YA MSINGI KIKELELWA ILIYOPO ROMBO MKOANI...
Na Mwandishi wetu
Zaidi ya wanafunzi 700 katika shule ya msingi Kikelelwa iliyopo wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wamesaidiwa kuondokana na changamoto ya hatari ya kuambukizana...
MHE. KAMANI AKABIDHI PIKIPIKI KWA WILAYA 7 MWANZA
Mbunge wa Vijana Mhe. Ng'wasi Damasi Kamani jana tarehe 23 Julai, 2023 alikabidhi pikipiki kwa Wilaya zote 7 za Mkoa wa Mwanza ikiwa ni...
MAJALIWA ATOA SIKU 7 WATENDAJI TARURA, DAWASA KUKAMILISHA BARABARA MUHIMBILI.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku saba Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam Godfrey Mikinga...
MHE.KIKWETE : TAALUMA YA UUGUZI NI YA KUJITOA NA YENYE UTHUBUTU
Na. Lusungu Helela-Chalinze
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema taaluma ya Uuguzi ni kazi...











