Friday, June 26, 2026
Home 2023 July 4

Daily Archives: July 4, 2023

SERIKALI IPO KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA KUKAMILISHA SERA YA TEHAMA

0
Naibu katibu mkuu wa wizara ya habari mawasiliano na tekmolojia ya Habari selestine Kakele amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mapitio...

KADA CCM ATOA USHAURi KWA WENYEVITI WA MITAA NCHINI

0
Na Shomari Binda-Musoma WENYEVITI wa mitaa nchini wameshauriwa kutumia mikutano yao kutoa elimu ya ufahamu juu ya Katiba ya nchi. Ushauri huo umetolewa na kada wa...

CCM MWANZA yataka viongozi wasimamie Miradi kwa ukaribu

0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mwanza kimewataka viongozi wake kuweka juhudi katika kutatua matatizo ya wananchi katika maeneo yao kama inavyosisitizwa na Ilani yake...

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA MJI WA SERIKALI

0
*Aagiza ifikapo Oktoba mwaka huu uwe umekamilika WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kuwa ifikapo Oktoba mwaka huu, mradi wa majengo ya wizara mbalimbali unaoendelea katika...

KATIBU MKUU NISHATI ASISITIZA GST KUFANYA UTAFITI ZAIDI

0
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba amesisitiza Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kuendelea kufanya tafiti zaidi ikiwemo kuongeza...

MABASI YATOAYO HUDUMA YA USAFIRISHAJI ABIRIA MIKOANI YARUHUSIWA KUSAFIRI MASAA 24

0
Na Magrethy Katengu Mabasi yanayotoa huduma ya usafirishaji abiria kwenda Mikoani yameruhusiwa kusafiri masaa 24 kutokana na hali ya Ulinzi na usalama kuboreshwa barabarani kote...