KINANA: CHAMA KITAISHAURI SERIKALI KUANGALIA UPYA SHERIA YA BODABODA.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaishauri serikali iwasikilize wananchi inapotaka kutengeneza sheria mbalimbali zinazogusa maisha yao ili kupunguza migogoro na kero mbalimbali katika jamii.
Akizungumza...
WANACHAMA WA OMTO WASAINI FOMU KUPATA MITAJI YA IMBEJU ( + VIDEO)
TAZAMA VIDEO HAPA
https://www.youtube.com/embed/lpkdffTNHGI
=Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule ( wa pili kushoto), Meneja Mahusiano wa Benki...
WAZIRI MKUU AALIKA WAWEKEZAJI VIWANDA VYA MBOLEA
*Ashiriki ufunguzi wa Jukwaa la Uchumi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaalika wawekezaji waliobobea kwenye sekta ya mbolea ili waje kufungua viwanda vya mbolea nchini.
Ametoa mwaliko...
Tanesco mbioni kuanza kutumia ‘Mita Janja’
Na Beatrice Sanga-MAELEZO
SERIKALI imesema kuwa inaendelea na majaribio ya matumizi ya Mita Janja katika kununua umeme nchini huku ikitarajia ndani ya miezi sita ijayo...
TIGO PESA KUKOPESHA HADI MILIONI 2, NIVUSHE PLUS ( + VIDEO)
https://youtu.be/nQvHe0cGEv8?si=g2x_I3EXzHmTpVz8
TIPER KUTOA GAWIO LA BILIONI 2 .5 KWA SERIKALI.
Na Magrethy Katengu
Serikali imepokea Gawio la Shilingi bilion 2.5 kutoka kampuni ya Uhifadhi mafutaTanzania International Petroleum Reserves(TEPER) ambapo fedha hizo zitakwenda kutekeleza miradi mbalimbali...
DKT. KIJAJI – SERIKALI ITAENDELEA HATUA KWA HATUA KUTATUA CHANGAMOTO WANAZOZIPATA WENYE VIWANDA
Waziri wa Viwanda na Bashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali itaenda hatua kwa hatua kuhakikisha changamoto wanazopata wenye viwanda zinatatuliwa na kushughulikiwa...










