KINANA AWATULIZA WANANCHI UFUMBUZI BEI YA PAMBA, TEMBO KUVAMIA MAKAZI YA WATU.
Na Mwandishi Wetu, Itilima
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amewaeleza wananchi wa Itilima jinsi serikali itakavyotatua changamoto ya bei...
Mbaroni kwa tuhuma za kughushi vyeti vya leseni ya Udereva
JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano wanaotuhumiwa kujihusisha na makosa ya kughushi vyeti vya udereva pamoja na wizi wa mitandaoni.
Kamanda wa...
WADAU WAKUTANA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA TANGA YETU
Na Boniface Gideon, TANGA
WADAU wa Maendeleo Jiji la Tanga Leo wamekutana kwaajili ya kutathmini utekerezaji wa Miradi ya Tanga Yetu ambayo inaendelea kutekerezwa na...
Tani 13 za dawa za kulevya zakamatwa na watuhumiwa 4983 hapa Nchini
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Dar es salaam.
Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya hapa Nchini limefanikiwa...
Vikundi vya mchakamchaka vyatakiwa kuzingatia Sheria za Usalama barabarani
VIKUNDI vya mazoezi ya mchakamchaka Jijini Mwanza wamepatiwa elimu ya usalama barabarani ili kuwawezesha kufahamu mambo wanayotakiwa kuzingatia nyakati watumiapo njia hizo.
Kamanda wa Polisi...
PROF MKENDA: MAKTABA TATU NCHI NZIMA HAZIKIDHI MAHITAJI KWA WASOMAJI
Na Magrethy Katengu
Bodi ya Maktaba imeshauriwa kushirikiana na halmashauri, mashule na Tamisemi kuanzisha Maktaba za jumuia kwani 3 zilizopo nchi nzima hadhikidhi mahitaji ya...
SERIKALI YA RAIS SAMIA IMEENDELEA KUTENGENEZA MAZINGIRA MAZURI KILA MWANANCHI APATE MAENDELEO -KINANA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana, amesema kuwa jukumu la kujiendeleza ni la mtu binafsi na kwamba hakuna anaeweza kumwendeleza mtu...










