Friday, June 26, 2026
Home 2023 July

Monthly Archives: July 2023

KINANA AWATULIZA WANANCHI UFUMBUZI BEI YA PAMBA, TEMBO KUVAMIA MAKAZI YA WATU.

0
Na Mwandishi Wetu, Itilima MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amewaeleza wananchi wa Itilima jinsi serikali itakavyotatua changamoto ya bei...

Mbaroni kwa tuhuma za kughushi vyeti vya leseni ya Udereva

0
JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano wanaotuhumiwa kujihusisha na makosa ya kughushi vyeti vya udereva pamoja na wizi wa mitandaoni. Kamanda wa...

WADAU WAKUTANA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA TANGA YETU

0
Na Boniface Gideon, TANGA WADAU wa Maendeleo Jiji la Tanga Leo wamekutana kwaajili ya kutathmini utekerezaji wa Miradi ya Tanga Yetu ambayo inaendelea kutekerezwa na...

Tani 13 za dawa za kulevya zakamatwa na watuhumiwa 4983 hapa Nchini

0
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Dar es salaam. Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya hapa Nchini limefanikiwa...

Vikundi vya mchakamchaka vyatakiwa kuzingatia Sheria za Usalama barabarani

0
VIKUNDI vya mazoezi ya mchakamchaka Jijini Mwanza wamepatiwa elimu ya usalama barabarani ili kuwawezesha kufahamu mambo wanayotakiwa kuzingatia nyakati watumiapo njia hizo. Kamanda wa Polisi...

PROF MKENDA: MAKTABA TATU NCHI NZIMA HAZIKIDHI MAHITAJI KWA WASOMAJI

0
Na Magrethy Katengu Bodi ya Maktaba imeshauriwa kushirikiana na halmashauri, mashule na Tamisemi kuanzisha Maktaba za jumuia kwani 3 zilizopo nchi nzima hadhikidhi mahitaji ya...

SERIKALI YA RAIS SAMIA IMEENDELEA KUTENGENEZA MAZINGIRA MAZURI KILA MWANANCHI APATE MAENDELEO -KINANA

0
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana, amesema kuwa jukumu la kujiendeleza ni la mtu binafsi na kwamba hakuna anaeweza kumwendeleza mtu...

MILLARD AYO ALIVYOKABIDHI MAMILIONI KWA WASHINDI WA TIGO CHA WOTE WIKI YA TANO

0
Na Mwandishi Wetu.  Bi. Indu Bakari Mkundi Mfanyabiashara ya Nguo Mkazi wa Goba Jijini Dar Es Salaam ni miongoni mwa washindi wa Milioni Moja,  Kampeni...

WAZIRI PROFESA MKENDA ATOA AGIZO KWA TEWW KUTOA ELIMU ENDELEVU BILA UKOMO

0
Na Magrethy Katengu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Adlof Mkenda a amelitaka Baraza la taasisi ya Elimu ya watu wazima(TEWW) kuhakikisha utoaji wa...

TBS YASHINDA TUZO TAASISI BORA YA UDHIBITI BARANI AFRIKA 2023

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji akipokea Tuzo ya TBS kuwa Taasisi Bora ya Udhibiti kwa Mwaka 2023 kutoka kwa Mwenyekiti wa...